Top Songs By Rayvanny
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Rayvanny
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Raymond Shaban Mwakyusa
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Beat Killer
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Mungu kanipa chenye thamani
Anawaka kama mbalamwezi gizani
Yani kama maji jangwani
Sijasahau utamu, utamu anaonipa chumbani
[Verse 2]
Mi nikipendwa na yeye tu
Nimeridhika, nimetosheka
Nikipendwa na yeye tu
Nimeridhika, nimetosheka
[Verse 3]
Huyu-huyu
Chaguo langua mimi huyu-huyu
Hatuachani leo mi nna huyu-huyu
Wengine hawaamini, ooh
[PreChorus]
Huyu-huyu
Mseme mbaya ila huyu-huyu
Ntazeeka naye mimi huyu-huyu
Mwingine wa nini
[Chorus]
Oh Mon Amor
Mon Amor, Mon Amor
Mon Amor, Mon Amor
Mon Amor, Mon Amor
Sheteme Mon Amor
[Chorus]
Mon Amor, Mon Amor
Mon Amor, Mon Amor
Mon Amor, Mon Amor
Nakupenda Mon Amor
[Verse 4]
Nawaza Mungu angepanga
Mchana giza, usiku jua ndo nuru
Au kama angepanga
Mi na wewe tuwe ndege kunguru
[Refrain]
Tungeimaliza anga
Tupae angani tukiwa huru
Riziki kwenye michanga
Mi nipekua, wewe ubonyoe ndunduru
[Verse 5]
Haikua rahisi
Hapa tulipofika
Umevumilia mengi
Acha nikupe sifa
[Verse 6]
Upepo wa ibilisi
Ulipopitaa
Kujaribu vunja penzi
Tukaishinda vitaa
[Refrain]
Asante
Asante mwalimu
Somo lako la mapenzi
Leo limenitibu
[Verse 7]
Nikipendwa na yeye tu
Nimeridhika, nimetosheka
Nikipendwa na yeye tu
Nimeridhika, nimetosheka
[Chorus]
Oh Mon Amor
Mon Amor, Mon Amor
Mon Amor, Mon Amor
Mon Amor, Mon Amor
Sheteme Mon Amor
[Chorus]
Mon Amor, Mon Amor
Mon Amor, Mon Amor
Mon Amor, Mon Amor
Nakupenda Mon Amor
Written by: Raymond Shaban Mwakyusa