Music Video

Harmonize - Furaha (Official Visualizer)
Watch Harmonize - Furaha (Official Visualizer) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Harmonize
Harmonize
Bongos
COMPOSITION & LYRICS
Harmonize
Harmonize
Songwriter
Rajabu Ibrahim Abdulkahali
Rajabu Ibrahim Abdulkahali
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Kimambo
Kimambo
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Ya dunia mengi
Leo nimegundua utofauti, kati ya raha na furaha
Do you know that? Hii dunia inamambo
Eti kumbe kuna utofauti kati ya raha na furaha
[Verse 2]
Kale ka distance, baby sikuoni
Eti nikajiona nisha move on, utadhani na-enjoy
Pombe zimenichosha, nipo hoi, dunia ina siri
Sio kila anayekula raha, moyoni mwake anafuraha, eeh
Lord have mercy
[Chorus]
Nishagundua furaha yangu ni wewe
Kule nilipata rahaila nkagundua, furaha yangu ni wewe
Kwa wengine nitajisumbua, furaha yangu ni wewe
Hata siku nikifa, naomba unizike wewe
Mimi na wewe, weewe
[Verse 3]
Siri ya nini, ooh
Acha nikwambie moyo wangu unatamba nao
Na wasikutishie wengine wanautaka wao
Ni lazima waichukie, hii couple siyo level zao
Asubuhi tukigombana usiku ndo wapatanao
[PreChorus]
Kale ka distance, baby sikuoni
Eti nikajiona nisha move on, utadhani na-enjoy
Pombe zimenichosha, nipo hoi, dunia ina siri
Sio kila unayemuona bar, moyoni mwake anafuraha
Lord have mercy
[Chorus]
Nishagundua furaha yangu ni wewe
Kule nilipata rahaila nkagundua, furaha yangu ni wewe
Kwa wengine nitajisumbua, furaha yangu ni wewe
Hata siku nikifa, naomba unizike wewe
Mimi na wewe, weewe
Written by: Rajabu Ibrahim Abdulkahali
instagramSharePathic_arrow_out