Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
B2k Mnyama
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Batwely Kinyunyu
Songwriter
Lyrics
[Intro]
Mbaka sasa tunavyojipenda hadi rahaa
Mbaka sasa tunavyojipenda hadi rahaa
[Verse 1]
Omala tu ukinisogelea, ukinigusa ukinikumbatia
Kwangu naona zawadii
Story za mapenzi wakiniletea
Naona wazushi wana zingua
Mbona si tuko good
[Verse 2]
Hawajui unavyo nipendelea, waninyonyesha huku nimekua
Huu upendo umezidii
Mpaka unikumbate ndio unaongea, nikiwa mbali babe hujazoea
Au unafanya kusudii
[Verse 3]
Kuna wao afu kuna sisi kuna, we afu kuna mimi
Tulianza kama utani na sikuizi tuna enjoy lovee
Mchana kweupe hatujifichi, npe nikupe yani mambo fitii
Tulianza kama utani na skuizi tuna enjoy lovee ooh
[Chorus]
Lala, lalaa
La lalaa
Lala, lalaa
La lalaa
[Verse 4]
Na ikiwa mapenzi sumu basi we ndio utaniuwa
Mwanadamu akitaka niulumu naomba simama kuni tetea
Wala sio mwilini tuu mbaka moyoni unanijua
Uwezo wa mabodigadi sina mi mnyonge ntakulinda na dua
[Verse 5]
Usoni moyoni umejawa na furahaa
Nina macho ila sioni wakuninyima raha
[Bridge]
Mbaka sasa tunavyojipenda hadi rahaa
Mbaka sasa tunavyojipenda hadi rahaa
Mbaka sasa tunavyojipenda hadi rahaa
Mbaka sasa tunavyojipenda hadi rahaa
[Chorus]
Lala, lalaa
La lalaa
Lala, lalaa
La lalaa
[Outro]
Lala, lalalaa
La lalalaa baby
I love you
Lala, lalalaa
Lala, lalalaa
La lalalaa
I love you
Written by: Batwely Kinyunyu