Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Marioo
Marioo
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Marioo
Marioo
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Alien Trax
Alien Trax
Producer

Lyrics

[Chorus]
Nashkuru nimejua kisa salioo, ngoja kwanza nitafute hela
Kumbe shida sina salioo, acha bas nkatafute hela
Si ungesema kisa he (Hee) ndo inanfanya nikose raha (Raahaa)
Si ungesema kisa he (Hee) ndo inanfanya nikose raha (Raahaa)
[Verse 1]
Mi nakaa, naumiza ndoga (Almanusra nidate)
Nimekaa naumiza ndongaa (Chupuchupu nipagawee)
Eeh! maana usiku kucha unanisifiaa (Kukikucha unanicheat)
(Na tena) mara kwa mara unaniambiaa, “kitu yangu ndo inanifiti”
(Aah), mara paah natumiwa video zako unaliwa, mate kwenye ndinga
(Ah), mara paah naambiwaa una danga lakoo lenye umri wa kukuzaa
Nikawa nashangaa
[Chorus]
Nashkuru nimejua kisa salioo, ngoja kwanza nitafute hela
Kumbe shida sina salioo, acha basi nkatafute hela
Si ungesema kisa he (Hee) ndo inanfanya nikose raha (Raahaa)
Si ungesema kisa he (Hee) ndo inanfanya nikose raha (Raahaa)
[Verse 2]
Si kila kitu nilifanya kwa ajili yako, na wewe ukaniahidi utazikwa na mimi
Hata kitu niliwasha kwa ajili yako, ni wewe ndo ulitaka uvute na mimi
Maneno yako yaliniaminishaa, na mi nikajiaminii (Comfortability)
Vitendo vyako viliniaminishaa, kumbe sioo ooh (Negativity)
[Verse 3]
Aah, mara paah natumiwa video zako unaliwa, mate kwenye ndinga
Ah, mara paah naambiwaa una danga lakoo lenye umri wa kukuzaa
Nikawa nashangaa
[Chorus]
Nashkuru nimejua kisa salioo, ngoja kwanza nitafute hela
Kumbe shida sina salioo, acha basi nkatafute hela
Si ungesema kisa he (Hee) ndo inanfanya nikose raha (Raahaa)
Si ungesema kisa he (Hee) ndo inanfanya nikose raha (Raahaa)
Written by: Marioo
instagramSharePathic_arrow_out