Lyrics

[Verse 1]
Mungu alonipa ukilema hawezi nunyima mwendo
Na Sikupanga imenibidi kulivua pendo
Maana mwanzo nilidhani utabadilika
Of course hakuna aliekamilika
Masaaa masiku miaka imekatika
Nachukia kujiona nikilalamika
[PreChorus]
Bora ugali dagaa kwenye amani
Kuliko wali nyama vitani
Mateso vitimbwi kurupushani
Kama unajiona kichwa shingo nani
[PreChorus]
Bora ugali dagaa kwenye amani
Kuliko wali nyama vitani
Mateso vitimbwi kurupushani
Kama unajiona kichwa shingo nani mi sipendi
[Chorus]
Dharau, Manyanyaso
Dharau, Masimango
Dharau, Manyanyaso
Siweziii siweziii
[Chorus]
Dharau, Manyanyaso
Dharau, Masimango
Dharau, Manyanyaso
Siweziii siweziii
[Verse 2]
Yeah, me nilidhulumu nafsi kujikirihisha
Nikiamini me mtu wa mtu
Kumbe bora ninge chukuchuku (Aah kidogo)
Ninge fanya utukutu
[Verse 3]
Moyo ndio ulikupa nafasi
Chakusikitisha ninacho ambulia ni maumivu tupu
Bora ninge chukuchuku (Aah kidogo)
Ama ningewapa wakifanye supu
[Verse 4]
Kwako nilikuwa nyendo sina
Nikijua you are my sestiny
Sina wa kumtunzia heshima
Kama hata wewe nitashindwa kukuthamini
[Verse 5]
Nikweli utakwenda mazima
Japo itakuwa ngumu kuamini
Nitamisi michezo ya mama amina
Yakucheza kwaku buruza ulimi
[Verse 6]
Mapenzi ulionipa wewe
Walahi Misikutamani mwengine we wakiapo
Mwenzangu umebadilika wewe
Japo minakupa kila utakacho
[PreChorus]
Bora ugali dagaa kwenye amani
Kuliko wali nyama vitani
Mateso vitimbwi
Na ndio maana hatuendani weeh
[Chorus]
Dharau, Manyanyaso
Dharau, Masimango
Dharau, Manyanyaso
Siweziii siweziii
[Chorus]
Dharau, Manyanyaso
Dharau, Masimango
Dharau, Manyanyaso
Siweziii siweziii
[Outro]
Dharau, Manyanyaso
Manyanyaso
Kondeboy call me "number one"
Bakhresa
Written by: Ibrahim Abdallah Nampunga, Rajabu Abdulkahali Ibrahim
instagramSharePathic_arrow_out