Featured In
Top Songs By Marioo
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Marioo
Performer
Alikiba
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Marioo
Songwriter
Alikiba
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Abbah
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Ah, si unaona
Tupo tu poa kama jana ila leo tupo sober
Hakuna shido we mwenyewe si unaona
Tulikunywa sana jana ila leo tuko sober
Sober, sober
[Verse 2]
Gambe stress release, oh
Sinywi nitukane jamaa zangu
Silewi nigombame na ndugu zangu, uh
Sinywi nitukane jamaa zangu
Silewi nigombame na ndugu zangu, uh
[PreChorus]
Ila kuna muda ndonga inazidiwaga, oh
Ndo maana hujipooza sisi
Sisi hapa sote ndoto zetu kwenda peponi
[Chorus]
Ndo maana leo tupo sober, leo tuko sober
Sisi hapa sote ndoto zetu kwenda peponi
Ndo maana leo tupo sober, leo tuko sober
[Verse 3]
Nimetoka kuachwa, nimefukuzwa kazi
Nadaiwa kodi, kuvuja kwa pakacha, I'm so down
Mfukoni nimechaha mie
Yaani sina hela na mambo ya kulea nasomesha mapacha
[Verse 4]
Narudi kwako nipokee, baraka zako usinichokee
Usiniache nipotee
[Verse 5]
Ila kuna muda ndonga inazidiwaga, oh
Ndo maana hujipooza sisi
[Chorus]
Sisi hapa (Sisi) sote ndoto zetu kwenda peponi
Ndo maana leo tupo sober, leo tuko sober
Sisi hapa sote ndoto zetu kwenda peponi
Ndo maana leo tupo sober, leo tuko sober
[Outro]
Ndoto zetu kwenda peponi
Leo tuko sober
Written by: Alikiba, Marioo