Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Alikiba
Alikiba
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ally Salehe Kiba
Ally Salehe Kiba
Songwriter
Sharif Saidi Juma
Sharif Saidi Juma
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Genius Jini X66
Genius Jini X66
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Umeni-corruptisha, nilikuwa na mapressure tu
Alinidhalilisha, alinicha hadharani, hadharani
Ningeaga maisha nilishafika kikomo
Ukanikarikibisha, kabisa ukani-adaptisha
[Verse 2]
Umenipendezesha ukaning'arisha
Kuachana na yule mbwa wa mwanzoni, alienikondesha
Uso uliojawa na vishimo, nikapoteza mwonekano
Nikaonekana ka' kituko, kumbe yaliomo yamo, oh, na bado, na bado
[PreChorus]
Taratibu mama, tunamuumiza roho
Taratibu mama, atajitoa roho
Taratibu mama, tunamumiza roho
Taratibu mama, atajitoa roho
[Chorus]
Hatari, hatari, hatari, hatari mpenzi
Hatari, hatari, hatari, hatari mpenzi
Hatari, hatari, hatari, hatari mpenzi
Hatari, hatari, hatari, hatari mpenzi
[Bridge]
Oh-woah, oh
Oh-woah, oh
Wananiita, Jay
Jay Once Again
[Verse 3]
Another day, mimi nae
Tuko nyumbani tunakula chapati na visupu
Usiombe akiniita honey tunaanza vurugu usumbufu
Maumivu sijuagi ye' ndo anaenipa furahaa
Na wala siteseki, niko angani juu napaa
[Verse 4]
Acheni penzi letu listawi
Hamjui aliponishika
Hata kama akienda mbali
Kumfata hio nitalazimika
Huu moto
[PreChorus]
Taratibu mama, tunamuumiza roho
Taratibu mama, atajitoa roho
Taratibu mama, tunamumiza roho
Taratibu mama, atajitoa roho
[Chorus]
Hatari, (Wueh!), hatari, hatari, hatari mpenzi (Ulala)
Hatari (Ule) hatari (Ooh, yo) hatari (Ooh, yeah), hatari mpenzi (Hatari)
Hatari hatari, (Hatari), hatari, hatari mpenzi
Hatari, hatari, hatari, hatari mpenzi
Written by: Adam Maingwa, Ali Kiba, Ally Salehe Kiba, Sharif Saidi Juma
instagramSharePathic_arrow_out