Featured In
Top Songs By Darassa
Lyrics
[Chorus]
Nipe chakula nitanawa, nitakula nitashiba
Siku nikienda kulala nitaota mapenzi
Ukisikia naenda, nafura najiimbia
Kama ukisikia naimba naimba mapenzi
Ukiniona nalia, nifute machozi
Jua ukiniona nalia nalilia mapenzi, oh yeah
[Verse 1]
Nilishafanya vi ujanja ujanja vya kubuni
Kaisoma namba kwa Kiroom
Kujichanga changa mpaka mbuni
Na kumbe najichanja chanja kama kuni
Nitafute wapi nakosea step
Labda nivae fashion nijenge shape
Mwishoni I try to doubt myself
Siwezi kuogelea ya maji marefu
Ndio maana bado nakuwa na kiwewe
Maswali najiuliza mwenyewe
Nasema nitapata wangu je ni wewe?
Naona unaweke kifaranga na mwewe
Mapenzi yanataka uyape respect
Commitment assuarance
Mapenzi sio kitu kama pesa ya benki
Umpe bunduki mlinzi akutetee
[Chorus]
Nipe chakula nitanawa, nitakula nitashiba
Siku nikienda kulala nitaota mapenzi
Ukisikia naenda, nafura najiimbia
Kama ukisikia naimba naimba mapenzi
Ukiniona nalia, nifute machozi
Jua ukiniona nalia nalilia mapenzi, oh yeah
[Verse 2]
Mi nina roho na moyo
Ndani sio wa chuma roboti
So nahitaji furaha amani
Ya upendo ndo nipate comfort
Nimetafuta tafuta njiani
Mtu wako mwamina wokoti
Can I company you, baby?
Would you give me your loyalty, loyalty ye?
Marafiki zangu wakikutaka utasemaje
Namwambia please, respect yourself
Na kama napata utachezwa itakuwaje
I go run for you baby when you need my help
Mapenzi yanataka uyape respect
Commitment assurance
Mapenzi, yeah
[Chorus]
Nipe chakula nitanawa, nitakula nitashiba
Siku nikienda kulala nitaota mapenzi
Ukisikia naenda, nafura najiimbia
Kama ukisikia naimba naimba mapenzi
Ukiniona nalia, nifute machozi
Jua ukiniona nalia nalilia mapenzi, oh yeah
Oh yeah Jua nalilia, mapenzi
Written by: Faustina Nandera Charles Mfinanga, Marioo