Top Songs By Darassa
Credits
PERFORMING ARTISTS
Darassa
Performer
Harmonize
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Rajabu Ibrahim Abdulkahali
Songwriter
Shariff Thabit Ramadhani
Songwriter
Lyrics
[Verse 1]
Uh, I'm tryna tell my friend this is different
Kama you got me end of the mission
They say, "stop playing, weh' Mzee, 'You going insane?"
Unapewa nini, masikio you don't listen
[Verse 2]
Jana nilikuwa Tipsy, eh
Kulimwagika pisi, eh
Maradhi pekee ndio yangefichwa
Uzuri wako umenijaa kwa kichwa
Nikazikumbuka hips, eh
Unavyo ng'ata, ng'ata lips, eh
I know that you miss me
Why don't you come and kiss me my baby
Ooh, ooh
[Verse 3]
Uh, umetawala nchi kavu, umetanda angani
Unanipa mitihani, natokea njia gani?
Uko nyumbani, uko mtaani, uko kazini, uko maskani
Uko viwanjani, uko moyoni, umejaa, jaa ndani
[Verse 4]
Ni matukio yana rewind, rewind kichwani
You are one of the kind, umeshinda wapinzani
Pozi zako, dah! Ile sura ya furaha
[Verse 5]
You're my friend, you're my lover, you're my superstar
Umeshindwa, kushindwa kulala last night
Nikiangalia kitanda, we used to play pillow fight
Come back to me, I'm not doing alright
Ukiona mtu mzima analia ujue vitu ziko tight
(Ooh, ooh) Tight
[Chorus]
Hata iwe mapenzi yamekwisha kumbuka kuna (Mazoea)
Eh-eh, eh-eh, baby, ooh-ooh, ooh-ooh (Mazoea)
Na hata kama mapenzi yanakwisha yanabaki, ih (Mazoea)
Eh-eh, eh-eh, baby, ooh-ooh, ooh-ooh (Mazoea)
[Verse 6]
Nakunywa pombe nilewe sababu ni wewe
Silewi zinanipalia
Oh, oh, oh (Oh, oh, oh) umenipatia
Ooh, ooh, ooh (Oh, oh, oh) unanijulia
[Verse 7]
Najipa imani, it's okay my heart is broken
Naogelea matope, wacha nijikokote
Wacha nijiokote, it's okay, it's okay
Na sitafika popote (Damn!)
[Verse 8]
Si unajuwa arosto, I'm in so pain
You're love inanipa addiction kama cocaine
Umeona kabisa umeshani-damage my brain
I'm so high, captain' jump off the plane
[Verse 9]
Umeshindwa, kushindwa kulala last night
Nikiangalia kitanda, we used to play pillow fight
Come back to me, I'm not doing alright
Ukiona mtu mzima analia ujue vitu ziko tight, 'okay'
[Chorus]
Hata iwe mapenzi yamekwisha kumbuka kuna (Mazoea)
Eh-eh, eh-eh, baby, ooh-ooh, ooh-ooh (Mazoea)
Na hata kama mapenzi yanakwisha yanabaki, ih (Mazoea)
Eh-eh, eh-eh, baby, ooh-ooh, ooh-ooh (Mazoea)
Written by: Rajabu Ibrahim Abdulkahali, Shariff Thabit Ramadhani