Top Songs By Darassa
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Darassa
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Darassa
Songwriter
Lyrics
[Intro]
Rudi utotoni
Usipotembea utabebwa mgongoni
2-5-5 champion boy niite Bwana Samatta
[Verse 1]
Wanaota mapembe waongezee mkia
Na ukinibeep tu nakupigia
And let me make one thing clear
Blah blah sitaki kusikia
[Verse 2]
Sio simba, sio chui, sio mamba (Haah)
Ngozi yangu inatosha kujigamba (Haah)
Na sina maneno ya kwenye kanga
Kazi juu ya kazi yaani bambaa tu bambaa
[Verse 3]
Kuzaa unaweza kuzaa kizaa zaa
Sinzia na fegi uchome kibanda
Kalale uote ndoto zako za kitanda
Si bado tuko macho mida ya wanga
[PreChorus]
Funga mkanda, kaza na kamba
Ama ufate nyayo uchane msamba
Pasua miamba, pasua anga
Tunasemaga chambua kama karanga
[Chorus]
Maisha na muziki, acha maneno weka muziki
Ukiwa sad, ukiwa hap', ukiwa juu, ukiwa chini, piga muziki (Yeah)
Safari na muziki (Yeah)
Acha maneno weka muziki (Yeah)
Imba unachopenda na ukitaka kucheza cheza muziki
[Bridge]
Bambataa, shika kamataa
Rhumba sakata
N'napokaa mchizi nshadataa shadataa aah
[Verse 4]
Unataka kukimbia na hauna break
What do you expect?
Bongo, Congo, kwa Thabo Mbeki
Cheza Lokasa Ya Mbongo huwezi kumake
[Verse 5]
Watch yourself usije ukajiconfuse
Mzuka wa kuruka Reggae kwenye Blues
Una mchuzi, no excuse
Maisha yetu ya kila siku kama vile movie
[Verse 6]
Vitu vingine havitakagi ujuaji
Utajikuta unatandikia watu jamvi
Kusubiria embe chini ya mnazi
Kumuelewesha chizi utajipa kazi
[PreChorus]
Funga mkanda, Kaza na kamba
Ama ufate nyayo uchane msamba
Pasua miamba, pasua anga
Tunasemaga chambua kama karanga (Uuh-wiih)
[Chorus]
Maisha na muziki, acha maneno weka muziki
Ukiwa sad, ukiwa hap', ukiwa juu, ukiwa chini, piga muziki (Yeah)
Safari na muziki (Yeah)
Acha maneno weka muziki (Yeah)
Imba unachopenda na ukitaka kucheza cheza muziki
[Refrain]
Wanatamani tupotee kwenye map
Tunapeleka game to the top top
I thought I told yah, that we don't stop
Don't stop, we don't stop
[Refrain]
Wanatamani tupotee kwenye map
Tunapeleka game to the top top
I thought I told yah,that we don't stop
We don't stop
Written by: Darassa