Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Bruce africa
Bruce africa
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Bruce africa
Bruce africa
Songwriter

Lyrics

Imenifika kwa koo
Inanibidi niseme ndipo nipone
Pale ulipo babe nipe location nisogee, nije nikuone
Ikishindikana basi nitumie video zako za Snapchat
You know I like that, nimekumiss sana macho yakutaka
Videocalls hata, mda ukipata, nitafurahi nikikuona mwanadada
Your my angel my queen, unachotaka mi sikatai
Juu ni upendo my dear, unaonipa mi sikinai
Angel my queen, unachotak mi sikatai
Juu ni upendo my dear, unaonipa mi sikinai
I miss you
Nakumiss vibaya damn
I miss you babe eh
Nakumiss vibaya damn
Utani utani wako na michezo hunikosha
Fanya uridi upweke utasema tesa babe
Uwepo wako kwangu unanitosha, baby
Do you miss me, au mimi, babe
Hukumiss daily, daily-daily
I'm so crayz for your love im crazy, babe
Nakumiss daily, daily-daily
Your my angel my queen, unachotaka mi sikatai
Juu ni upendo my dear, unaonipa mi sikinai
Angel my queen, unachotak mi sikatai
Juu ni upendo my dear, unaonipa mi sikinai
I miss you
Nakumiss vibaya damn
I miss you babe
Nakumiss vibaya damn
Your my angel my queen, unachotaka mi sikatai
Juu ni upendo my dear, unaonipa mi sikinai
Written by: Bruce africa
instagramSharePathic_arrow_out