Featured In
Top Songs By Darassa
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Darassa
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Shariff Ramadhani
Songwriter
Lyrics
[Verse 1]
She call me on my phone anakuja gheto
Nataka kuja ghetto
Anajua napikaga vitu special
Special for you
The way unanizimaga michecheto
Tuliza akili mento
Ukinipa usiku nipe mpaka kesho
Kesho, kesho, kesho
One time, show me what your momma give ya
Two time, I put all my money
[Chorus]
Ukitaka nikubebe ubembee juu kwa juu
You know I like it
Ukitaka tuendeshe utembee
Kwa miguaa, you know I like it
Ukitaka nikubebe ubembee juu
Kwa juu, you know I like it
I give you all everything
When I do my things with you
You know I like it
[Verse 2]
Iyah, Sho Madjozi!
Me kama mimi napenda mi sichezi woohh woohh
Nataka mapenzi
Mi siangalii mapesa ama benzi wooh woohhh
Nataka my babe
Nitoke hapa nitakwenda wapi, wapi
Mapenzi yangu na wewe am happy, happy
You make me go down katikati
You make me sing oohh daddy, daddy
[Verse 3]
Simama inuka juu nikupe tunzo
Mapenzi yamekaza gongelea na nyundo
Waswahili na maneno yenye uvundo
Are you talk about my girl hebu niondolee utumbo
I say she's my future
Sweet bambucha
Wanga mtajuta kaeka ukuta
Nampa taratibu nampa puta
Puta anapenda mwendo ukanyage mafuta
[Chorus]
Ukitaka nikubebe ubembee juu kwa juu
You know I like it
Ukitaka tuendeshe utembee kwa miguu
You know I like it
Ukitaka nikubebe ubembee juu kwa juu
You know I like it
I give you all everything when I do my things with you
You know I like it
[Intro]
Heeh, one time show me what your momma give ya
Two time, I put all my money
You know I like it
You know I like it
You know I like it
You know I like it
Written by: Shariff Ramadhani