Lyrics
[Verse 1]
Hello its me again
Mr Burudani, take away the pain
Pole kwa kuchelewa si unajua foleni
Nawapa vidonge kutuliza complain
Kichwa, sijabeba kama pambo
Akili, nimetega kwenye chambo
Fullu, charge na fullu bundle
Ukileta usoo, unawekwa kando
Ana maseke ukitete
Muulize ila kama mapepe
[PreChorus]
Mtulize, sema naye (Ooh aah eeh, oh aah eeh)
Kama ulijuwa cheche imekuwa kasheshe
Huwezi kuzuia mvua wacha inyeshe
Sema nao (Ooh aah eeh)
Wadeseke (Ooh aah eeh)
Utaua ua bure sijalala
Nimeficha tu makucha
Huku ndani ndo kwanza kumekucha
Vunja mifupa, waulize nani kaachiwa bucha
[Chorus]
Leo, kama ni kishindo tingisha (Leo)
Kama ni mzuka pandisha (Leo)
Kama ni maji mwagika (Leo)
Kama ni mnazi katika (Leo)
Kama ni kishindo tingisha (Leo)
Kama ni mzuka pandisha (Leo)
Kama ni maji mwagika (Leo)
Na kama ni mnazi katika
[Chorus]
Kama pochi limechanika speaker zinakita
Mbona hapata chimbika leo, yeah yeah
Mamacita, take a picture tunahakikisha leo
Leo, leo
Leo, leo
[Verse 2]
Eeh, waweke walete mpira kati
Nimeondoka kidogo tu vagaranti
Niko online, nataka kuchati
I'm not finishing, am just getting started
Mazungumzo baada ya habari
Cheza mbali, maana hali sio shwari
Jichanganye kama kachumbari
Chumvi mpaka kwenye chai hii ya leo kali
[Verse 3]
Umebugi step ebu cheki, cheki
If am not mistaken, umegeuza gazeti
Ukitaka kazi ya jeshi
Don't forget hakuna kuku petty petty
Ana maseke ukitete, muulize ila kama mapepe
[PreChorus]
Mtulize, sema naye (Ooh aah eeh, ooh aah eeh)
Kama uliibiwa cheche imekuwa kasheshe
Huwezi kuzuia mvua wacha inyeshe
Sema nao (Ooh aah eeh)
Wadeseke (Ooh aah eeh)
[Chorus]
Kama ni kishindo tingisha (Leo)
Kama ni mzuka pandisha (Leo)
Kama ni maji mwagika (Leo)
Kama ni mnazi katika (Leo)
Kama ni kishindo tingisha (Leo)
Kama ni mzuka pandisha (Leo)
Kama ni maji mwagika (Leo)
Na kama ni mnazi katika
[Chorus]
Kama pochi limechanika
Speaker zinakita
Mbona hapata chimbika leo, yeah yeah
Mamacita, take a picture tunahakikisha leo
Leo, leo
Leo, leo
Written by: Darassa