Lyrics

[Verse 1]
Pasha maji weka moto
Tandika jamvi naja nyumbani
Nimekuletea zawadi
Kijora cha mkopo
Futa la nazi ujipare honey
Na vijisabuni vya magadi
[Verse 2]
Nguru usimtoe chumvi ndio ladha yake
Muunge tu nipe na chuzi na nyama yake
Eeh kula ya mbuzi ni kamba yake
Ye king'amuzi ni dishi lake
[PreChorus]
Fungeni maturubai (Mkeshe mkisema)
Wala hamtupi shida (Mkeshe mkisema)
Ndo kwanza tunajidai (Mkeshe mkisema)
Kama afisa wa nida ooh
[PreChorus]
Tena daktari nimekuja na tiba sindano (Leta nichomeke)
Chunga kibinda mwali napita kwenye mabano (Leta nichomeke)
Nipo ngangari tayari kwa mapambano (Leta nichomeke)
Chanya kagusa hasi leo mambo msuguano (Leta nichomeke)
[Chorus]
Tamba Tamba! (Nakupa uwanja tamba)
Tamba Tamba! (Warushe warushike roho zao)
Tamba Tamba! (Wasokujua wakujuwe leo)
Tamba Tamba! (Tamba mama nao)
[Verse 3]
Nitalinda benki kwa rungu niaminie
Nikitaka langu mwana uvungu nainama mie
Wavunje nazi na nyungu wajifushie
Ooh moyo wangu atulinde mungu yasitufikie
[Verse 4]
Nilishakumbwa na tsunami
La mapenzi nikalia nina amani kwako sasa
Penzi si la unyang'anyi pekee yangu najilia
Nashiba na kusaza
[PreChorus]
Na ka TV kangu kanawaka kuzima (Nikupe)
Na kasimu kangu japo ka mchina (Nikupe)
Shika na moyo wangu nenda nao mazima (Nikupe)
Tuzaliwa Mecca tufie Madina (Nikupe)
[PreChorus]
Fungeni maturubai (Mkeshe mkisema)
Wala hamtupi shida (Mkeshe mkisema)
Ndo kwanza tunajidai (Mkeshe mkisema)
Kama afisa wa nida ooh
[PreChorus]
Tena daktari nimekuja na tiba sindano (Leta nichomeke)
Chunga kibinda mwali napita kwenye mabano (Leta nichomeke)
Nipo ngangari tayari kwa mapambano (Leta nichomeke)
Chanya kagusa hasi leo mambo msuguano (Leta nichomeke)
[Chorus]
Tamba Tamba! (Nakupa uwanja tamba)
Tamba Tamba! (Warushe warushike roho zao)
Tamba Tamba! (Wasokujua wakujuwe leo)
Tamba Tamba! (Tamba mama nao)
[Outro]
Nishalinoa panga porini kukata muwa
Mwana kaza kitanda usiku kuneng'emuwa
Nishalinoa panga porini kukata muwa
Mwana kaza kitanda usiku kuneng'emuwa
Nishalinoa panga porini kukata muwa
Mwana kaza kitanda usiku kuneng'emuwa
Written by: Mbosso
instagramSharePathic_arrow_out