Lyrics
Sitojifanya maproso, nkaja kukudanganya, ukakumbuka before
Nitakupenda mpaka useme poo, kwako nitang'ang'ana, I will never let you go
Mtegoni nimenasa tandabui kwa ukuta, believe me I don't lie (I don't lie)
Nishaacha anasa, nimeweka nukta, I'm ready to fly (I'm ready to fly with you beibe)
Mengi yashasemwa kwamba mimi ni player, wanapenda tukigombana, eti nakuchezea
Roho zawauma tumebaki kidedeya, twende tukiongozana, wawili kama pair
(Vunja kabati, vunja kabati) Vaa pendeza nogesha tutoke
(Baby vunja kabati ooe) Komesha, komesha Aristotee
Fanya unajipinda-pinda (Kata), mugongo pinda, pinda (Kata)
Fanya unajipindapinda (Kata), mugongo pinda, pinda (Kata)
Nishatafuta location, twende vacation tujichimbie kiaina
Tupost makopa caption, tuice mango passion tukomeshe kina Dayna
You give me temptation mwendo wako motion, kijungu ka' Blac Chyna
Unapendeza bila fashion, your my perfection wala huitaji designer
Asa go down cheza jeje (Jeje), nyonga legeza lege (Jeje)
Kiuno nifinyie kwatege (Jeje), nichanganyie rojo la zege (Jeje)
Mengi yashasemwa kwamba mimi ni player, wanapenda tukigombana, eti nakuchezea
Roho zawauma tumebaki kidedeya, twende tukiongozana, wawili kama pair
(Vunja kabati, vunja kabati) Vaa pendeza nogesha tutoke
(Baby vunja kabati ooe) Komesha, komesha Aristotee
Fanya unajipindapinda (Kata), mugongo pinda, pinda (Kata)
Fanya unajipindapinda (Kata), mugongo pinda, pinda (Kata)
Written by: Lava Lava