Top Songs By Diamond Platnumz
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Diamond Platnumz
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Diamond Platnumz
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizer Classic
Producer
S2Kizzy
Producer
Lyrics
[Intro]
Nawa, nawa
Nawa nawaza tu
Nawa, nawa
Nawa nawaza tu
[Verse 1]
Nawaza pru mpaka makha ruge amerudi tena
Je kwa huu mziki wa sasa sjui nini angesema
Na nimejifunza binadamu kweli hawana jema
Yani mtoto unaemtunza ndio anakuombea ukilema, nashangaa
[Verse 2]
Nawaza Vanny na Elizabeth, clip zao zikivuja
Ndoa itaimarika eti, au ndio ataivunja
Nawaza muchana, usiku jibu halifiki
Wanaonitukana tunabeef au ilimradi kiki
[Verse 3]
Nawaza hawa kina Kimambi Bwana
Wangekuwa wagawa ridhiki
Hivi kweli ningejulikana
Si wangenizima sisikiki
[Verse 4]
Nilowaza leo nishawaza sana
Mi na Kiba ugomvi kipi
Nikagundua ni ushamba na ujana
Wakugombania mashabiki
[Chorus]
Nawa, nawa
Nawa nawaza tu
Nawa, nawa
Nawa nawaza tu
[Verse 5]
Huenda Steven Kanumba angelikuepo hai, nawabs
Movie zetu pia tungejidai, nawaza
Hivi kombe la dunia hatufikagi why? Nawaza
Tatizo ni team au uongozi haufai
[Verse 6]
Mawazo mengine mtanange bora tuache yataleta ukakasi
Je angekuepo mzee nyange, Uncle shamte angepata nafasi
Nawaza ka ningekua na Wema Sepetu hadi leo
Sjui ningekua nishafulia ama zaidi maendeleo
[Verse 7]
Ooh nawaza siku nikifa sjui wasafi itakufa
Nawaza sijui maradhi ama ajali itanikuta
Nawaza ooh, Mama Dangote nani chozi atamfuta
Nawaza sijui nyimbo zangu watazikumbuka
[Verse 8]
Nilowaza leo nishawaza sana
Ninachoshindwa kuoa kipi
Nikagundua naepusha lawama
Maana najijua kwa kucheat
[Chorus]
Nawa, nawa
Nawa nawaza tu
Nawa, nawa
Nawa nawaza tu
Written by: Diamond Platnumz