Lyrics

Wimbo
Wimbo huu
Ajejeje
Mmh, eh
Joto lije ntakupepea
Ntakutunza, ntakutetea
Wanune, wavimbe, I don't care
Hawajui unachonipea
Mpaka napagawa
Na sio mambo ya dawa
We ni mtamu mwaya
Na hunanga show mbaya
Ukinigusa tu nalegea
Mwili wote teketeke
Yani siwezi ata kutembea
Kama mtoto tete tete
(Ayayayaya)
Na nyuma ni Muganda (huyu mwana)
Shepu ya Kitanga (huyu mwana)
Ngozi ya Kirundi, oh (huyu mwana)
Sura ya Kinyarwanda (huyu mwana)
Na nywele ya Kisomali (huyu mwana)
Macho ya Ethiopia (huyu mwana)
Utamu Tanzania, oh (huyu mwana)
Akili ni ya Kenya
Yule anayepinga asimame
Anayepinga asimame
Sema ukweli wako
Nyie haka (katam tam katam)
Kababy kangu jama (katam tam katam)
Kashunushunu bwana (katam tam katam)
Ooh, mzuri wewe (katam tam katam)
Umeumbika mwaya (katam tam katam)
Aii, yoo, yooh (katam tam katam)
Kisura chake (katam tam katam)
Ona umbo (katam)
I know the bar was so low
Lakini umenivumilia
Mahaba nayasikia mama
Nakupa mia kwa mia
Baby, you don't know
Vile umenishikilia
Ukanikinga wa dunia, mama
Sijui nikupe nini, dear
Nafufua wahenga
Watunge nyimbo tamu na mashairi
Mtu asije tenga
Ishaandikwa duniani na mbinguni
Mchuzi we' ndo flavour
Imebidi niite mondi aje tujadili
Nikatuma mshenga hadi kwenu East Africa Mashariki
(Ayayayaya)
Na nyuma ni Muganda (huyu mwana)
Shepu ni ya Tanga (huyu mwana)
Ngozi ya Kirundi, oh (huyu mwana)
Sura ya Kigali, yeeh (huyu mwana)
Na nywele Kisomali (huyu mwana)
Na macho ya Habesha (huyu mwana)
Forehead ni ya Kenya (huyu mwana)
Tabasamu la Juba
Yule anayepinga asimame
Anayepinga asimame
Sema ukweli wako
Nyie haka (katam tam katam)
Kababy kangu jama (katam tam katam)
Kashunushunu bwana (katam tam katam)
Ooh, mzuri wewe (katam tam katam)
Umeumbika mwaya (katam tam katam)
Aii, yoo, yooh (katam tam katam)
Kisura chake (katam tam katam)
Ona umbo (katam tam katam)
Sa twende popopo adigidigi
Asuke rasta ama avae wigi
Jamani popopo adigidigi
Utaitaka tu kijigijigi
Jamani popopo adigidigi
Asuke rasta ama avae wigi
Nasema popopo adigidigi
Utaitaka tu kijigijigi
Eeh, eh
Let's make a toast to my baby
East African lady
Let's make a toast to my baby
My African lady
Let's make a toast to my baby, oh
My Asian baby, ah
Let's make a toast to my baby, oh
My European baby, ah
Aje jeje
Mmh, mmh, mmh
Written by: Bienaime Alusa, Nasibu Abdul Juma Issaack
instagramSharePathic_arrow_out