Music Video

Harmonize - Yeye (Official Visualizer)
Watch Harmonize - Yeye (Official Visualizer) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Harmonize
Harmonize
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Rajabu Ibrahim Abdulkahali
Rajabu Ibrahim Abdulkahali
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Kimambo Beats
Kimambo Beats
Producer

Lyrics

[Intro]
Umenishangaza, ya dunia mengi
Leo nimegundua utofauti kati ya raha na furaha
I didn't know that
[Verse 1]
Hii dunia ina mambo
Ooh, oh, oh
Eti kumbe kuna utofauti kati ya raha na furaha eeh
Ooh, oh, oh
[PreChorus]
Shetani alinizonga Mungu simuoni
Si nikajiona ka niko peponi
Kila siku naenjoy
Pombe zimenichosha nipo hoi eeh
[PreChorus]
Dunia ina siri
Si kila aleokoka mbinguni atafika eeh
Lord have mercy
[Chorus]
Nishagundua furaha yangu ni wewe
Ooh, oh, oh
Ata binadamu wakinikimbia Baba unabaki wewe
Ooh, oh, oh
I don't really care wakinichukia ukinipenda wewe
Ooh, oh, oh
Ata niwe na madeni, unisamehe, ndivyo nitawajibu yee
Ooh, oh, oh
Ata nikifa, nizikwe kwa jina lake yeye
Ooh, oh, oh
Ooh, oh, oh
I wonder why you so good to me girl
[Verse 2]
Mi najua sitozaraulika, sitokamatika, coz umenishika
So turn this smoke I wanna take some liquor bado unanishika hujabadilika
[Chorus]
Of course umeniumba kwa mfano wako, kila nilicho nacho ni mikono yako
Ooh, oh, oh
And I never fall down bila matakwa yako, wachawi fitina wote wajawa
Ooh, oh, oh
[PreChorus]
Shetani alinizonga Mungu sikuoni
Si nikajiona ka niko peponi
Kila siku naenjoy
Pombe zimenichosha nipo hoi eeh
[PreChorus]
Dunia ina siri
Si kila aleokoka mbinguni atafika eeh
Lord have mercy
[Chorus]
Nishagundua furaha yangu ni wewe
Ooh, oh, oh
Ata binadamu wakinikimbia Baba unabaki wewe
Ooh, oh, oh
I don't really care wakinichukia ukinipenda wewe
Ooh, oh, oh
Ata niwe na madeni, unisamehe, ndivyo nitawajibu yee
Ooh, oh, oh
Ata nikifa, nizikwe kwa jina lake yeye
Ooh, oh, oh
Ooh, oh, oh
I wonder why you so good to me girl
Written by: Rajabu Ibrahim Abdulkahali
instagramSharePathic_arrow_out