Music Video

Phany Love - Forever (Official Music Video)
Watch Phany Love - Forever (Official Music Video) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Phany Love
Phany Love
Performer
Gideon Chubwa
Gideon Chubwa
First Cello
COMPOSITION & LYRICS
Khalfan Hamis
Khalfan Hamis
Songwriter

Lyrics

[Verse 1]
Samahani kama ntakuwa nakosea naomba niseme ukweli
Hii dunia bila yeye mi nahisi ningefeli
Nishakutana na maumivu ya moyo, mapenzi ya utapeli (Utapeli)
Lakini Mungu kanifuta machozi kwa kunipa huyu kama zawadi
[PreChorus]
Alichoniweza (Maizoea) ukweli sio siri (Nimemzoea)
Nikilwa mbali nashindwa kuongea moyo unadunda, kweli unanyong'onyea
Heshima utamu ananiekea ah-ah na mimi nampea
Ah, tunapeana na sidhani kama tutaachana
[Chorus]
(Mi na yeye, ah) Mi na yeye forever
(Mi na yeye lololo) mi naye mpaka forever
(Mi na yeye oh) mi nayeye mpaka forever
(Mi na yeye lololo) mi naye mpaka forever
[Verse 2]
Usijeniacha baridi, nani atanikumbata
Mwezako peke yangu siwezi, moyo wangu ameshaukunyata ooh
Sawa mi najua nina upendo haidandii
Ndo mana nimefunga macho, sionii
[PreChorus]
Alichoniweza (Maizoea) ukweli sio siri (Nimemzoea)
Akiwa mbali nashindwa kuongea moyo unadunda, kweli unanyong'onyea
Heshima utamu ananiekea ah-ah na mimi nampea
Ah, tunapeana na sidhani kama tutaachana
[Chorus]
(Mi na yeye, ah) Mi na yeye forever
(Mi na yeye lololo) mi naye mpaka forever
(Mi na yeye oh) mi na yeye forever
(Mi na yeye lololo) mi naye mpaka forever
Written by: Khalfan Hamis
instagramSharePathic_arrow_out