Music Video

Msamiati Feat Dayoo -Twende Wote (official rylic & Video)
Watch Msamiati Feat Dayoo -Twende Wote (official rylic & Video) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Msamiati
Msamiati
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Fredy Benny Mbetwa
Fredy Benny Mbetwa
Songwriter

Lyrics

[Verse 1]
Mmh, kwanza mi mwenzako
Na, na moyo mmoja tena wa minyama-nyama
Teena mi mwenzako
Sina hoja kwako niko nyang'a-nyang'a
[PreChorus]
Naa nsije nkajutaa eeh
Kukupenda weeh
Kama umeianza
Safari twende pamoja, pamoja
[Chorus]
Let's go baby
Twende wote hata kwenye mbalamwezi
Let's go baby
Twende wote bustani ya Eden
[Bridge]
Eeh
Sheesshh
Ughwe umenyee
Eeh wee
[Verse 2]
Tubhuke mweee, tukabhaponyee kukaajaa
Kighanee Farajaa, Utaniua wa nkajaa
Asee Joune kwako mtejaa, wee
Nakuonea mbaali familia watoto magarii
Vacation shopingi kali, siku za ibada, kuswali
[Verse 3]
Nitunzie mie, nikwambie mie
Ni wewe ndiye, chaguo langu mie
Abha Bhakujhoba bhajhobe tukapilikisyamo fya n' domo
Wanao kusema nakomwe, ndilo nalolipenda na mdomo
[Chorus]
Let's go baby
Twende wote hata kwenye mbalamwezi
Let's go baby
Twende wote bustani ya Eden
[PreChorus]
Naa nsije nkajutaa eeh
Kukupenda weeh
Kama umeianza
Safari twende pamoja, pamoja
[Chorus]
Let's go baby
Twende wote hata kwenye mbalamwezi
Let's go baby
Twende wote bustani ya Eden
Written by: Fredy Benny Mbetwa
instagramSharePathic_arrow_out