Lyrics

Nitaomba mabawa nipae
Mabawa nipae
Mpaka mbingu ya sita
Neema na baraka zitufae
Baraka zitufae
Kutoka kwa malaika
Honey mi nadhalilika
Yani ulivyo nishika
Honey mi nadhalilika
Yani ulivyo nishika
Mamaa Mamaa Mama ake
Ndakupenda kesho nakupenda today
Bado nahangaika natafuta niombeye
Mwenzako mi na wivu nasitaki tushare
Mamaa Mamaa Mama ake
Ndakupenda kesho nakupenda today
Bado nahangaika natafuta niombeye
Mwenzako mi na wivu nasitaki tushare
Kwenye mamilioni kwangu we namba one
Oneeee Yooooh
Watayasema yote na bado hatuachane
Chani yooooo
Hata wakiniona zoba
As long as uko nami
Wakisema unaniroga
Waambiye unanirogeya chumbani
Hata wakiniona zoba
As long as uko nami
Wakisema unaniroga
Waambiye unanirogeya chumbani
Ooooh Nanaaaa
Nitaomba mabawa nipae
Mabawa nipae
Mpaka mbingu ya sita
Neema na baraka zitufae
Baraka zitufae
Kutoka kwa malaika
Honey mi nadhalilika
Yani ulivyo nishika
Honey mi nadhalilika
Yani ulivyo nishika
Kwaizi raha unazonipa mpaka naishiwa maneno
Nampenda mama nampenda baba na wewe ukiwemo
Penzi wakishika nakata nakata kama musumeno
Sali tuzeeke wote mpaka tug'oke meno
Na akili zaniruka
Likitajwa lako jina
Siyo siri nawehuka
Ubaridi mwili muzima
Kwenye mamilioni kwangu we namba one
Oneeee Yooooh
Watayasema yote na bado hatuachane
Chani yooooo
Hata wakiniona zoba
As long as uko nami
Wakisema unaniroga
Waambiye unanirogeya chumbani
Hata wakiniona zoba
As long as uko nami
Wakisema unaniroga
Waambiye unanirogeya chumbani
Ooooh Nanaaaa
Nitaomba mabawa nipae
Mabawa nipae
Mpaka mbingu ya sita
Neema na baraka zitufae
Baraka zitufae
Kutoka kwa malaika
Honey mi nadhalilika
Yani ulivyo nishika
Honey mi nadhalilika
Yani ulivyo nishika
Written by: William Nicholaus Lyimo
instagramSharePathic_arrow_out