Credits

PERFORMING ARTISTS
Jay Melody
Jay Melody
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Sharif Saidi Juma
Sharif Saidi Juma
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Adam Amiry Maingwa
Adam Amiry Maingwa
Producer
Ally Ramadhan Juma
Ally Ramadhan Juma
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Nikiulizwa nakupenda najibu
I love you nyang'anyang'a
Na sa ilo ndo tatizo
Cheki kitu unachonifanya
[Verse 2]
Navyovitaka my boo nipe vyote
Penzi maji nilioge
Au kambale nielee kwenye tope
Nipeleke ka ling'ombe
[PreChorus]
Mi napenda kudekezwa, sipendi kuumia ooh
Na hata nikituma meseji, naomba kujibiwa aah
Hiyo michezo unayocheza mwenzako ntalia ooh
Na hata nikitaka mapenzi, naomba kupatiwa ooh
[Chorus]
Siyawezi aah, hayo mapenzi siyawezi
Najua uko busy kweli
Ila mwenzako ndo siwezi aiih baby
Siyawezi aah, hayo mapenzi siyawezi
Najua uko busy kweli
Ila mwenzako ndo siwezi aiih baby
[Verse 3]
We jua mapenzi yananiendesha
Izi fujo usumbufu we ndo unanipelekesha
Kwani naapa siwezikuacha
Kama kuilamba kama kuing'ata
Kama kwenye makochi au kwenye kitanda
Vyenye unanipa ndo inanibamba aah
[PreChorus]
Mi napenda kudekezwa, sipendi kuumia ooh
Na hata nikituma meseji, naomba kujibiwa aah
Hiyo michezo unayocheza mwenzako ntalia ooh
Na hata nikitaka mapenzi, naomba kupatiwa ooh
[Chorus]
Siyawezi aah, hayo mapenzi siyawezi
Najua uko busy kweli
Ila mwenzako ndo siwezi aiih baby
Siyawezi aah, hayo mapenzi siyawezi
Najua uko busy kweli
Ila mwenzako ndo siwezi aiih baby
[Chorus]
Siyawezi aah, hayo mapenzi siyawezi
Najua uko busy kweli
Ila mwenzako ndo siwezi aiih baby
Siyawezi aah, hayo mapenzi siyawezi
Najua uko busy kweli
Ila mwenzako ndo siwezi aiih baby
Written by: Sharif Saidi Juma
instagramSharePathic_arrow_out