Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Whozu
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Oscar lelo
Composer
Lyrics
[Verse 1]
Umetoka kwenu bush nakuona saivi unajiona
Una force kijipost post na hakuna kitu naona
Wewe sio wa kwanza kukupenda, naweza kukwacha na ukaenda
Ukitaka ushindani utaserrender, surrender utasurrender
[Verse 2]
Haya haya tia maji (Haya haya tia maji)
Kununua zako huwezagi (Basi bora unywe maji)
Mja tena umepauka
Unapenda attention (Attention)
Una sifa ona limekushuka
Sikupi attention (Mmh) attention (Weeh)
[Verse 3]
Mungu naomba unisamehe kwa hili kosa (Hili kosa)
Huyu mbwa nimemvumilia hadi nshachoka (Nshachoka)
Nilikaa kimya bubu ukaleta uduanzi
Sasa leo nakujibu upate vifollowers
Kwanza kisu chako butu, hakinoi, hakikati yaani butututuu
Tukutukutu tuuu
Unajitia mchart huna kitu tu
[Refrain]
Unachoniuzi huna kumbukumbu
Ulikuja juzi umekonda kama mbu
Nikakupa ujuzi kukutoa ukungu
Usilete makuzi kaoshe ma
[Chorus]
Huna jipya tena umepauka unapenda attention (Kwendaa) attention (Ovyoo)
Una sifa ona limekushuka
Sikupi attention (Iloo) attention (Iloo)
Eti nyonyonyo nyong'onyong'o (Mxiuu)
[Bridge]
Haya haya tia maji (Haya haya tia maji)
Kununua vyako huwezagi (Basi bora unywe maji)
[Chorus]
Huna jipya tena umepauka
Unapenda attention (Attention)
Una sifa ona limekushuka
Sikupi attention (Attention)
Written by: Oscar lelo