Lyrics

[Intro]
Mimi wewe mimi ntakufa na wewe
Mimi wewe mimi ntakufa na wewe
[Verse 1]
Ni baraka za mungu za malaika
Zimefanya mi nawe tujuane
Sina shaka maana imeandikwa
Ndege warukao wafanane
Sisikii la muadhini wala la mnadi swala
Tumelishana yamini kwa dua sio kafara
Sio wanyuzi tisini wala buku shindala
Mambo yakuzini-zini tuwe halali twahara
[Chorus]
Kama mapenzi ugonjwa wa macho mi kabisa kengeza
Na kama changuoni ndo kikulacho mi huyu kanimeza
Na sitaki nishauriwe, sitaki nishauriwe
Na sitaki nishauriwe, sitaki nishauriwe
[Verse 2]
Ngamia wangu anifaae jangwani
Nimemuombea dua tusiishie njiani
Ngamia wangu anifaae jangwani
Nimemuombea dua tusiishie njiani
Ooh, usingizi wangu zeze la kitandani
Nimemuombea dua tusiishie njiani
Ngamia wangu anifaae jangwani
Nimemuombea dua tusiishie njiani
[Chorus]
Kama mapenzi ugonjwa wa macho mi kabisa kengeza
Na kama changuoni ndo kikulacho mi huyu kanimeza
Na sitaki nishauriwe, sitaki nishauriwe
Na sitaki nishauriwe, sitaki nishauriwe
[Outro]
Aiih makopa kanimwagia makopa jama
Aiih makopa kanimwagia makopa jama
Aiih makopa kanimwagia makopa jama
Aiih makopa kanimwagia makopa jama
Mama, ma, ma, kanimwagia makopa jama
Aiih makopa kanimwagia makopa jama
Mwa mwa mwa kanimwagia makopa jama
Aiih makopa kanimwagia makopa jama
instagramSharePathic_arrow_out