Top Songs By Marioo
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Marioo
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Marioo
Songwriter
Salmin Kasimu Maengo
Composer
Sweetbert Charles Mwinula
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
S2Kizzy
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Nimegundua shida nikumzoea
Kinachonipa shida ni mazoea
Nimegundua shida nimeizoea
Yanayonipa shida ni mazoeaa
[Verse 2]
Si anajua ndo maana anafanya kusudi
Kunikomesha ananikomesha
Nishajishusha sana mpaka sina mood
Anichoresha ananichoresha
[PreChorus]
Acha niitwe mlevi, acha niitwe poko
Ila ukikivaa kiatu changu hautembei
Acha niitwe malaya, acha niitwe mdanganyi
Ila ukikivaa kiatu changu hautembei
[Chorus]
Tomorrow
Tuko apa mpaka tomorrow
Tuko apa mpaka tomorrow
Tomorrow
Tuko apa mpaka tomorrow
Tuko apa mpaka tomorrow
Tomorrow
Tuko apa mpaka tomorrow
Tuko apa mpaka tomorrow
[Verse 3]
Mara aseme natoka na Wema Sepetu (Petu)
Anasema natoka na Hamisa Mobetto (Beto)
Kosa sio kosa ndege ameruka pruuh, ameruka pruuh
Mi sina kosa ila ananijia juu, ananijia juu
[Bridge]
Naonewa yoyoyo aah
Nanyanyaswa acheni mie
[PreChorus]
Acha niitwe mlevi, acha niitwe poko
Ila ukikivaa kiatu changu hautembei
Acha niitwe malaya, acha niitwe mdanganyi
Ila ukikivaa kiatu changu hautembei
[Chorus]
Hadi Tomorrow
Tuko apa mpaka tomorrow
Haya mi staki deni
Tuko apa mpaka tomorrow
Ahh! Mpaka tomorrow!!
Tuko apa mpaka tomorrow
Shusha ngoma kali
Tuko apa mpaka tomorrow
Haloo! Tutalala keshoo!
Tuko apa mpaka tomorrow
Tupo, tupo sana, tupo sana
Tuko apa mpaka tomorrow
Written by: Marioo, Salmin Kasimu Maengo, Sweetbert Charles Mwinula