Music Video

Rayvanny - YAYA Ft Diamond Platnumz & Jux (Official Audio)
Watch Rayvanny - YAYA Ft Diamond Platnumz & Jux (Official Audio) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Vocals
Rayvanny
Rayvanny
Performer
Jux
Jux
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Raymond Shaban Mwakyusa
Raymond Shaban Mwakyusa
Lyrics
PRODUCTION & ENGINEERING
Soundboy
Soundboy
Producer

Lyrics

[Intro]
Bad man (Yaya, yaya)
Mi simba la masimba dangote (Yaya, yaya)
Yaya, yaya, yaya, yaya, yayaya
Yaya, yaya, yaya, yaya, yayaya
[Verse 1]
Najua nina madeni na matatizo ya kodi
Ila pesa ya pombe na shisha sikosi
Najua nina vipengele watu wanapiga hodi
Ila kuhonga mademu wazuri sichoki
[Chorus]
Eeh kama umemchoka tuachie sisi (Nasemaje)
Tumle mpaka mifupa sisi ndio mafisi (Wewee)
Kama umemchoka tuachie sisi (Athuman)
Tumle mpaka mifupa sisi ndio mafisi
[Chorus]
Sawa nimeachika ila naburudika
Sipangiwi na mbwa yoyote pesa inatumika
Nimeachika naburudika
Sipangiwi na paka yoyote pombe zinamwagika (Wewe)
[Chorus]
I'm a disco dancer (Athumanii)
I'm a disco dancer
I'm a disco dancer
I'm a disco dancer
[Chorus]
Yaya, yaya, yaya, yaya, yayaya
Yaya, yaya, yaya, yaya, yayaya
Yaya, yaya, yaya, yaya, yayaya
Yaya, yaya, yaya, yaya, yayaya
[Verse 2]
Wee zombie jaza tena zikiisha
Mwaga tano tano zidisha
Babe ikijipitisha (Pitisha)
Usiku mboga namchumisha (Chumisha)
[Verse 3]
Eeh wanajiita wandim
Wakati babe zao tunazila chini-chini
Eeh mabisho bling-bling
Kazi kulamba lips kitandani nawaging
Ladies simba want a thing got thing
Waambie sie mbwa kala paka
Ujifunze zungumza kwa mipaka
Demu wacha kufosi kashadata
Shobo zake mwenyewe kashanasa (Wewee)
[Verse 4]
Kama umemchoka tuachie sisi (Nasemaje)
Tumle mpaka mifupa sisi ndio mafisi (Wewee)
Kama umemchoka tuachie sisi (Athuman)
Tumle mpaka mifupa sisi ndio mafisi
[Verse 5]
Sawa nimeachika ila naburudika
Sipangiwi na mbwa yoyote pesa inatumika
Nimeachika naburudika
Sipangiwi na paka yoyote pombe zinamwagika (Wewe)
[Chorus]
I'm a disco dancer (Athumanii)
I'm a disco dancer
I'm a disco dancer
I'm a disco dancer
[Chorus]
Yaya, yaya, yaya, yaya, yayaya
Yaya, yaya, yaya, yaya, yayaya
Yaya, yaya, yaya, yaya, yayaya
Yaya, yaya, yaya, yaya, yayaya
[Verse 6]
Badman
Wahuni ndani wananyonga wida
Ukitaka puff-puff njoo barida
Ashura, Amina njoo Farida
Waambie bwana zenu hatutaki shida
[Chorus]
Kama umemchoka tuachie sisi (Nasemaje)
Tumle mpaka mifupa sisi ndio mafisi (Wewee)
Kama umemchoka tuachie sisi (Athumani)
Tumle mpaka mifupa sisi ndio mafisi
Show me what you got
[Chorus]
Chinkinti, chinkinti, chinkinti-chiki, chinkinti, chinkinti (Unachezaje)
Chinkinti, chinkinti, chinkinti-chiki, chinkinti, chinkinti (Show me what you got)
Chinkinti, chinkinti, chinkinti-chiki, chinkinti, chinkinti (Unachezaje)
Chinkinti, chinkinti, chinkinti-chiki, chinkinti, chinkinti
[Chorus]
Sawa nimeachika ila naburudika
Sipangiwi na mbwa yoyote pesa inatumika
Nimeachika naburudika
Sipangiwi na paka yoyote pombe zinamwagika (Wewe)
[Chorus]
I'm a disco dancer (Athumanii)
I'm a disco dancer
I'm a disco dancer
I'm a disco dancer
[Chorus]
Yaya, yaya, yaya, yaya, yayaya
Yaya, yaya, yaya, yaya, yayaya
Yaya, yaya, yaya, yaya, yayaya
Yaya, yaya, yaya, yaya, yayaya
Written by: Juma Mussa Mkambala, Naseeb Abdul Juma Issack, Raymond Shaban Mwakyusa, Salmin Kasimu Maengo
instagramSharePathic_arrow_out