Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Mimi Mars
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Marianne Mdee
Songwriter
Lyrics
[Verse 1]
Hivi ushasikia mtu anaogeshwa na mdalasini
Maana sio jina anataja mpaka ubini
Tena akiumwa huwagaa hataki quinine
Anachokitaka kuniona mimi
[Verse 2]
Tena mkaka kwangu ndo kafall ooh
Yaani mazima aah
Kwangu hana shaka kwako atakuja tomorrow
Yaani kazima aah
[Verse 3]
Nikuambie tu, mi ndo wakwanza
Kama ukitaka kukiwasha tunakiwasha
Nikuambie tu, mi ndo wakwanza
Kama ukitaka kukiwasha tunakiwasha
[Chorus]
Nasema pole
Wacha nikupe pole
Mwenzangu pole
Wacha nikupe pole
[Verse 4]
Utanifanya nini kwanza kwa mfano
We utajuaje tuko watano
Hata kwangu mimi yaliyomo yamo
[Verse 5]
Nampa vya pwani vya kizaramo
Tena usijaribu mashindano
Huniwezi hata kimuonekano
[Verse 6]
Sina noma, sina noma
Nachotaka kukuambia sisi tushapendana
Sina noma, sina noma yeah
Nachotaka kukuambia sisi tushapendana
[Verse 7]
Nikuambie tu, nishajipanga
Kama ukitaka kukiwasha tunakiwasha
Nikuambie tu, nishajipanga
Kama ukitaka kukiwasha tunakiwasha
[Chorus]
Nasema pole
Wacha nikupe pole
Mwenzangu pole
Wacha nikupe pole
Written by: Marianne Mdee