Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Whozu
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Oscar John Lelo
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
S2Kizzy
Producer
Lyrics
[Intro]
Ashindwe pepo, ashindwe pepo atoke
Ashindwe pepo, ashindwe pepo atoke
Ashindwe pepo, ashindwe pepo atoke
Ashindwe pepo, ashindwe
[Verse 1]
Salamu nimezipata, anatapa tapa (Uyo, uyo)
Kachunda kachacha, wamemtoa chambo (Uyo, uyo)
[Refrain]
Sindo yeye uyooo, aloniumiza roho
Sa mbona anaomba po, jamani anaomba po
Sindo yeye uyoo, aloniona wafo
Sa mbona anaomba po, jamani anaomba po
[PreChorus]
Huku fulu fululuu, nalishwa vyuku masupusupu, nadeka tu
Yani fululuu, napewa mavitu mchana usiku, mabusu tu
Fulu fululuu, nalishwa vyuku masupusupu, nadeka tu
Yani fululuu, napewa mavitu mchana usiku mabusu tu
[Chorus]
Ashindwa pepo, ashindwe pepo atoke

[Outro]
Babu niteme ushauchezea moyo, ukanidharau (Niteme, niteme)
Baki uko uko sipashi kiporo, nishakusahau (Niteme, niteme)
Babu niteme ushauchezea moyo, ukanidharau (Niteme, niteme)
Baki uko uko sipashi kiporo, nishakusahau (Niteme, niteme)
Written by: Oscar John Lelo