Featured In
Top Songs By Harmonize
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Mabantu
Vocals
Harmonize
Performer
Lyrics
[Verse 1]
Brother acha ujinga
Mtoto wa kike sifa yake kuringa
Ubahiri mwisho iringa uoni kina konde boy
Wanavyo mwaga mandinga mmh
Kajala one and two tena zote ni range
Mwenzetu umetuma ka like tu na bado
Unauliza chenji
Eti kisa cha kumyimbia ni vipombe chips na vikuku
Brother ukijiona bondia kazichape na Mwakinyo
Ama Kiduku
[PreChorus]
Ndio maana akipendacho binti
Wahuni tunanunua ili ikifika mida ya miti
Asije akasumbu-wa
[Chorus]
Deka deka deka
Nikudekeze
Baby deka (Hmm) deka (Hmm) deka
Nikudekeze
Baby girls deka deka deka
Deka nikudekeze
Baby deka deka deka
Deka nikudekeze
[Verse 2]
Uhn uhn uhn uhn uhn
Si wanapenda kubang
Uhn uhn uhn uhn uhn
Kumanisha nini
Unaniletea u star
Me mwenyewe star hee
Unaniletea u star
Me mwenyewe star
[Verse 3]
Yooo
Kwanza mama yangu star star
Baba yangu star star
Wanangu ma star
Weeh, pia babe yangu star
Ex wangu star
Mchipuko wangu star
Inh sasa usinituletee u star
[Verse 4]
Wenzako unajinyima kula mwili ukonde
Tupate na vi six pack
Licha ya kunung'unula miuno ya kimakonde
Ila bado mademu wanatu park
We unamtumia pengine hapati ati hata mia
Kipindi unakazana kumkaribia
Wenzako wanashindana kumgharamia
[PreChorus]
Aki aki akipendacho binti
Wahuni tunanunua ili ikifika mida ya miti
Asije akasumbu-wa
[Chorus]
Deka deka deka
Nikudekeze
Baby deka (Hmm) deka (Hmm) deka
Nikudekeze
Baby girls deka deka deka
Deka nikudekeze
Baby deka deka deka
Deka nikudekeze
[Verse 5]
Konde boy call me number one
Written by: Mabantu Mabantu, Rajab Harmonize