Music Video

Rayvanny - Unaibiwa ( Official Video music )
Watch Rayvanny - Unaibiwa ( Official Video music ) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Rayvanny
Rayvanny
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Rayvanny
Rayvanny
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizer Classic
Lizer Classic
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Usidate na njonjo za mapenzi
Vicheko bandia usoni kudeka kumbe ana pretend-i
Maufundi toka Tanga na Zenji
Vionjo mitego unase ashike pochi umwage chenji
[Verse 2]
Anakuchanganya kiunoni shanga
Marashi kama uko peponi
Mtoto sauti kinanda
Ya kumtoa chatu pangoni
Ukishatafuna karanga
Hutaki hata aende sokoni
Anakuchuna mafaranga unabaki na vumbi mfukoni
[PreChorus]
Ukiwa na pesa utasifiwa kitambi
"Baby me I like that"
Na kukupamba kwenye simu, video Snapchat
Kumbe hana maana hadi Mangi anamwita sweetheart
Kisa anakesha gym kutafuta six-pack
[Chorus]
Unaibiwa
Unaibiwa
Unaibiwa
Unaibiwa
[Verse 3]
Kuna kina Rose visosa
Wale wapenda verosa
Ukipita na shati na moka
Lazima watashoboka
[Bridge]
Wakiomba lift (Ogopa)
Miguu dashboard (Vishoka)
Mchunguze cheni goroka
Nywele na pochi (Kakopa)
[Verse 4]
Usije kuyavamia yasije yakakutesa
Hawachelewagi kukimbia
Kuna wenzako wanalia
Walizani mapenzi pesa kwenye suruali vibamia
[Verse 5]
Hata ukimuonga Ferrari, hatokuona rijali
Wakati chumbani we beki ukifunga moja tu chali
Atakamatwa na mangangali
Vijana machachali
Hawachagui sehemu ya vita uvunguni na juu ya dali
[PreChorus]
Ukiwa na pesa utasifiwa kitambi "Baby me I like that"
Na kukupamba kwenye simu, video Snapchat
Kumbe hana maana hadi Mangi anamwita sweartheart
Kisa anakesha gym kutafuta six-pack
[Chorus]
Unaibiwa
Unaibiwa
Unaibiwa
Unaibiwa
[PreChorus]
Unadhani niwapekeako
Kumbe wengine wameshaweka kambi
Kakupendea macho
Wapo wengine kawapendea rangi
'Ye ni gari la dampo
Hachagui taka dereva mpe ganji
Wakubadili sample
Akila mihogo karoti hazipandi
[Chorus]
Unaibiwa
Unaibiwa
Unaibiwa
Unaibiwa
Written by: Rayvanny
instagramSharePathic_arrow_out