Lyrics

[Intro]
Lalalalalalaa
Lalalalaa mmh
[Verse 1]
Namvuta faraghani tumo tubu, tumo ndani
Namtazama simuishi namkanda mambavuni
Kayainua majeshi vita nichague mimi
Aanze Bangladesh amalizie Sudan
[Bridge]
Lalalalalaa
Wowowowowoo
Lalaa
[Verse 2]
Twanozana hatosheki
Kaniweka kifuani
Hatingishiki haruki
Yuu hoi wa taabani
Nampa na vya kurithi
Na mizungu ya kigeni
[Chorus]
Hakuna kulala, hakuna kulala
Hakuna kulala asubuhi itukute
Hakuna kulala, hakuna kulala
Hakuna kulala na machweo yatukute
[Verse 3]
Siwezi kuficha hisia
Maradhi yataniumbua
Mizimu inayonijua
Kanila kanimalizia
Mbora katimiliki
Kwa pasi za resiresi
Hapitagi njia fupi
Shortcut ye za nini?
Nampa na vya kurithi
Na mizungu ya kigeni
[Chorus]
Hakuna kulala, hakuna kulala
Hakuna kulala, asubuhi itukute
Hakuna kulala, hakuna kulala
Hakuna kulala na machweo yatukute
[Outro]
Laadha yaako, laadha yako
Ladha yako ni tamu, nitam nitam sana
Written by: Zuchu, Zuhura Othman Soud
instagramSharePathic_arrow_out