Top Songs By K2ga
Similar Songs
Lyrics
Matam, mapenzi matam, raha zimeshamiri kaa mnavyoona jamani matam
Vitam, napewa vitam, msione nanawiri, usione nanona, napewa vitam
Penzi lipambwe na waridi nogesha na udi mambo hayaa
Mpenzi nikinge na baridi maana likizidi hali mbaya huu
Mapenzi yetu ya rangi-rangi yanapendeza sana, na kwako nimeweka kambi ayaa
Moyo unashahidi mwandani wangu, wewe ndio my habity furaha yangu

Me kwake yeye I'm in love (Tunapendana), ringa-ringa mamaa warushe rohoo (Tunapendana)
Mimi na yeye kuachana mwiko (Tunapendana), ringa-ringa mamaa warushe rohoo (Tunapendana)
Kwenye mito milima nitavuka nae (Aah), uwezo wa karima nitadumu nae (Aah)
Kashika nyama na mifupa kaapa nitazikwa nae, mapenzi ya raha kuchikuchi hotae
Na lake huba analonipa mi sijaona kama ye, mapenzi ya raha
Couple yetu imenoga ipo ng'aring'ari (Aah), bila ya ndumba kuroga tulianza safari (Aah)
Baby ulipo nami nipo, we pipa me ndo mfuniko, tushakulaga kiapo, tushakulaga kiapo kuachana mr nawe mwiko huu