Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Dayoo
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Baltazary Romani
Songwriter
JOHN DAVID LUBOTE
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Mafeelings
Producer
Lyrics
Nambie unataka wapi, nataka nikutoe baby ooh, sinza ama masaki nakusikiliza uamue wewe
Tena nambie basi wapi hujafika baby ooh, tukale mishikaki mihogo yakuchoma Coco beach
Usisahahu na vikopekope, vihirini vya kubandika baby, kama sina bora hata nikope, lakini utoke chicha leo baby
Na hilo shepu lako kama lotee, ukipiga picha lazima itrendy
Wakikunanga wala usiogope, ila najua ukipendeza hawapendi
(Kiukweli umewaka baby), waah-waah-waah-waah, (Baby) waah-waah-waah-waah
(Na umependeza sana) waah-waah-waah-waah, (Kuanzia juu mpaka chini), waah-waah-waah-waah
(Baby, umewakawaka), waah-waah-waah-waah, (Uuh baby), waah-waah-waah-waah
(Leo umependeza sana), waah-waah-waah-waah, (Oh waah), waah-waah-waah-waah, waah, waah, waah
Wasikutishe hizo mbwembwe ni ugaigai, wasije wakakuroga, ah, acha waomoke shingoni watie tai si hivihivi na tumenoga
Na wewe unajua kuliko we kukosa mi nitajinyima eeh, tukawatambie washua leo, tuagize na shisha mapema tumoke
Usisahahu na vikopekope, vihirini vya kubandika baby, kama sina bora hata nikope, lakini utoke chicha leo baby
Na hilo shepu lako kama lotee, ukipiga picha lazima itrendy
Wakikunanga wala usiogope, najua ukipendeza hawapendi
(Kiukweli umewaka baby), waah-waah-waah-waah, (Baby) waah-waah-waah-waah
(Na umependeza sana) waah-waah-waah-waah, (Kuanzia juu mpaka chini), waah-waah-waah-waah
(Baby, umewakawaka), waah-waah-waah-waah, (Uuh baby), waah-waah-waah-waah
(Leo umependeza sana), waah-waah-waah-waah, (Oh waah), waah-waah-waah-waah, waa, waah, waah
Waah-waah-waah-waah, waah-waah-waah-waah
Waah-waah-waah-waah, waah-waah-waah-waah, waah-waah-waah-waahs
Written by: Baltazary Romani, JOHN DAVID LUBOTE