Lyrics
Jini x double six
Jay once again
Na melody queen
Kukaa mbali ndo naogopa
Naogopa nitanyang'anywa
Kwa penzi lako hata kusota
Yani nitasota nitang'ang'ana
Kwenye hii dunia
Mimi ningekuona wa kwanza
Haya ninayokwambia natamani nishike kipaza
Kama mzigo umenikota
Kwa maana nilishatupwaaga
Kuwa nawe nahisi ka naota
Kwa jinsi unavyonipa
Unavyonikoroga
Ukinipa hunipi mara moja(iish)
Mara kwenye sofa
Mara baby kalia kigoda
Ooh oouoh usiniache mimi
Usiniache mimi Usiniache mimi
Usiniache mimi Usiniache mimi
Usiniache mimi Usiniache mimi
Usiniache mimi
Aah aaaah oooh,aah aaaah oooh
Kama ni maua basi basi ua rose
Penzi linameremeta
Nikikufikiria inakuja njozi
Usiku mzima nakuota
Pendo lako noma lishanchoma
Cha ajabu yani hata siumii
Masikio ushatoboa ngoma
Maneno Maneno wala siskii
Oooh wuah kama nikuzama nshazama
Waje waniokoe na boti
Kwenye kina kirefu nshakwama
Utulivu hata siogopi
Unavyonikoroga
Ukinipa hunipi mara moja(iish)
Mara kwenye sofa
Mara baby kalia kigoda
Ooh ooh usiniache mimi
Usiniache mimi Usiniache mimi
Usiniache mimi Usiniache mimi
Usiniache mimi Usiniache mimi
Usiniache mimi
Hata nifanye nini usiniache mimi
Usiniache mimi oooh ooh
Hata nifanye nini Usiniache mimi
Usiniache mimi oooh ooh
Oooh once again
Oooh once again
Oooh
Writer(s): Sharif Juma, Sarah Kitinga, Adam Maingwa
Lyrics powered by www.musixmatch.com