Lyrics
[Verse 1]
Nawaza, ingekwaje kama ningekukosa (Nawaza)
Ina maana hizi raha zote ningezikosa (Nawaza)
Penzi limenikolea kama mtoto nashindwa tembea
Raha zimenibobea, kwa mama nitakusamea
[Verse 2]
Si wansemaga penzi bonde na milima (Nipeleke )
Acha unachonipiga, usidiriki kuninyima (Mi nideke)
[Verse 3]
Penzi limetaradadi oya halima
Acha nicheke nilale ama mi nisimame wima
[Chorus]
(Unanipa raha) Nazidi kuwa mdogo mi sikuwi
(Unanipa raha) Nifanye kitafunwa unile
(Unanipa raha) Zidi kuonifundisha sivijui
(Unanipa raha) Nianze kukulisha ndo nile
[Bridge]
Ooh, ooh
Ooh, ooh
[Verse 4]
Hadi kuacha zinaisha, nikikuona nazing'ata
Unavyonizubaisha, mi napagawa
Nikuache yote tisa, oh mi nakupa limbwata
Unavyoniburudisha mi napagawa
[Verse 5]
Nakupenda unanipenda mpaka raha
Nikikuona ndo nashiba sina njaa
Hili penzi limejawa na furaha aah
Wakikuiba natoa mtu kafara
[Verse 6]
Si wannsemaga penzi bonde na milima (Nipeleke)
Acha nipate usidiriki kuninyima (Mi nideke)
[Verse 7]
Penzi limetaradadi oya halima
Acha nicheke, nilale ama mi nisimame wima
[Chorus]
(Unanipa raha) Nazidi kuwa mdogo mi sikuwi
(Unanipa raha) Nifanye kitafunwa unile
(Unanipa raha) Zidi kunifundisha sivijui
(Unanipa raha) Nianze kukulisha ndo nile
Written by: Faustina Nandera Charles Mfinanga, John Kimambo