Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Phina
Phina
Vocals
Darassa
Darassa
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Shariff Thabit Ramadhani
Shariff Thabit Ramadhani
Lyrics

Lyrics

[Intro]
Unanipa kiranga, napangua Gia na kupanga
Wee na ujanja janja, mbona kama unanitoa ushamba
Woman anapanda farasi, woman anakanda chapati
Analeta kitumbua breakfast, manju manjumati, full compact
[Chorus]
Fly butterfly, come to my garden ujidai
Wewe ni nyota ya mapenzi una shine, boy your the light of my life
Fly butterfly, come to my garden your mine
Come let me, let me hug and hold you tight, nikupe mapenzi day & night
[Verse 1]
Shule nilifundishwaga tenzi, sikufundishwa kuenzi
Hakuna somo la mapenzi
Baby, my baby you drive me crazy, nalewa narudisha change
Unanifundisha kuenzi, unanipa somo la mapenzi
[Verse 2]
Ndugu mtangazaji, mpendwa mtazamaji
Kumpenda mtu ni kualikwa bila card
Na mpost nam mantion namuwekea na tag
Mtamaliza nyimbo waimbaji, mtamaliza story washkaji
[Verse 3]
Ndugu mtangazaji, mpendwa mtazamaji
Kumpenda mtu ni kujitoa kwa jihadi
Kwenye jua kwenye mvua, mi nakuwekea gard
Mi nakupenda I don't care nani anae kujaji
[Chorus]
Fly butterfly, come to my garden ujidai
Wewe ni nyota ya mapenzi una shine, boy your the light of my life
Fly butterfly, come to my garden your mine
Come let me, let me hug and hold you tight, nikupe mapenzi day & night
[Verse 4]
If i have to break the low, if i have to break the door
Let me fight your war, yeah i'm crazy for love
And i'm ready to go, sina masongombingo
And if you need anything baby you let me know
[Verse 5]
If I have to break the low, if i have to break the door
Let me fight your war, yeah i'm crazy for love
And I'm ready to go, sina masongombingo
And if you need anything baby you let me know
I got you
[Chorus]
Fly butterfly, come to my garden ujidai
Wewe ni nyota ya mapenzi una shine, boy your the light of my life
Fly butterfly, come to my garden your mine
Come let me, let me hug and hold you tight, nikupe mapenzi day & night
Written by: Shariff Thabit Ramadhani
instagramSharePathic_arrow_out