Lyrics

[Verse 1]
Kukaa mbali ndo naogopa
Naogopa nitanyang'anywa
Kwa penzi lako hata kusota
Yani nitasota nitanga'ang'ana
Kwenye hii dunia, heri ningekuona wakwanza
Haya ninayokuambia, natamani nishike kipaza
[Verse 2]
Kama mzigo umeniokota
Kwa maana nilishatupwaga
Kuwa nawe nahisi ka naota
Kwa jinsi unavyonipa
[Verse 3]
Unavyonikoroga, ukinipa unipi mara moja
Ish! Mara kwenye sofa
Mara baby kalia kigoda, ooh
[Chorus]
Usiniache mimi, usiniache mimi
Usiniache mimi, usiniache mimi
Usiniache mimi, usiniache mimi
Usiniache mimi, usiniache mimi
[Bridge]
Aah ooh
Aah ooh
[Verse 4]
Kama ni maua basi ua rose, penzi linameremeta
Nikikufikiria inakuja njozi, usiku mzima nakuota
Pendo lako noma lishanchoma, chaajabu yani hata siumiii
Masikio umetoboa ngoma, maneno maneno wala sisikii
[Verse 5]
Ooh noo
Kama nikuzama nishazama, waje waniokoe na boti
Kwenye kina kirefu nshakwama, utulivu hata siogopi
[Verse 6]
Unavyonikoroga ukinipa unipi mara moja
Ishh! Mara kwenye sofa
Mara baby kalia kigoda oooh
[Chorus]
Usiniache mimi, usiniache mimi
Usiniache mimi, usiniache mimi
Usiniache mimi, usiniache mimi
Usiniache mimi, usiniache mimi
[Verse 7]
Ata nifanye nini, usiniache usiniache
Usiniache mimi, ooh
Ata nifanye nini, usiniache usiniache
Usiniache mimi, ooh
Written by: Sharif Saidi Juma
instagramSharePathic_arrow_out