Lyrics
Kutwa namuomba Mungu anijalie
Maumivu mbali yanipitie
Maana hayaeleweki haya
Hayasomeki mapenzi nami nimpate wa kwangu atulie
Mwenyewe tuu nijisevie
Maana hayaeleweki haya yamejaa ufake mapenzi
Na yasiwe ya kupostiana na vikopa kopa kwa mitandao
Kumbe ananichoresha nje ananogesha
Chonde asiwe wa kufoka foka mwisho akaniacha na stress kibao adeke
Na kumchekesha mvua ikinyesha yeyee
Asije ninyanyapaa awe mkweli tu asije ongopa
Mwenzenu kuteswa naogopaa
Asiwe na mipasho kama Khadija Kopa
Tupendane wasimteke vibopa
Yasiwe ya Konde na Wolper aah
Kila siku michambo nataka
Nimpende anipende nami nimpende anipende yani nimpende eeh
Nataka nimupende nasema
Mwenzenu nataka nimpende anipende nami nimpende anipende yani nimpende anipende eeh
Maana anonyeshe upendo mpaka nijisahau
Yeyee mmh mmh mmh!
No lololoo mmh mmh!
Mmh eeh naguna guna yeye yee
Naguna guna wo-wo-wo-wo wowoo
Mmh mmh mmh!
Na asiwe wa kususa susa hata nikamwambianga twende tukaoge
Asiseme nikaoge mwenyewe, mwenyewe
Na yangu asije ipangusa akili yangu mwishowe aikoroge
Awe humble ntakacho nipewe, nipewe mmh mmh
Awe yangu medali nangaa mmh
Kwa kila hali na maali
Na nitakesha kwa Mungu nitasaali eeh
Mabaya yasikupate akuepushee
Na kitandani asiwe bonge
Atamaliza godoro
Na atuliee
Asimalize chochoroo
Nisimfume
Usiku wa giza totoroo
Iyee tena asije
Asije ninyanyapaa awe mkweli tu asije ongopa
Mwenzenu kuteswa naogopaa
Asiwe na mipasho
Kama Khadija Kopa
Tupendane
Ka Ericka na Choppa
Yasiwe
Ya Konde na Wolper aah
Kila siku michambo nataka
Nimpende anipende nami nimpende anipende yani nimpende eeh
Nataka nimupende nasema
Mwenzenu nataka nimpende anipende nami nimpende anipende yani nimpende anipende eeh
Maana aonyeshe upendo mpaka nijisahau
Written by: Ibraah, Ibrahim Abdallah Nampunga