Featured In
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Mbosso
Vocals
Njenje Kilimanjaro Band
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Mbosso
Composer
Mbwana Yusuph Kilungi
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Njenje Kilimanjaro Band
Producer
Abbydad
Producer
Lyrics
[Intro]
Eeeh, mmh, eeh
[Verse 1]
Ana vidimple-dimple, vishimo shimo mashavuni
Mikononi vipiko piko, eti kipini kipo kitovuni
Ya nini nibaki kiwiliwili, na kichwa changu ni wewe
Iweje pendo kwao liwe pilipili na twakula wenyewe
Mungu kakuumba mithili ya malaika yayaya
Samaki wa kukunja, chumbani unanyumbulika yaya
Penzi usitie kibanzi, kitaniumiza ah
Upendo ukawa kitanzi, nikajining'iniza aah
[PreChorus]
Ikienda mrama irudishie (Popoa, popoa dodo)
Ikikwama kwama isukumie (Popoa, popoa dodo)
[Chorus]
(Tulizana) Tulizana mpenzi tupendane
Tulizana mpenzi tupendane
Tulizana mpenzi tupendane
Tulizana mpenzi tupendane
[Verse 2]
Kama nyota na mwezi, vilo mwana na angani
Tung'arishe penzi letu sote
Tupeane penzi bila choyo chochote
Na bila hiana kwetu sote
Elewa mapenzi ni chombo kinachotuunganisha
Ni chombo kinachosafiri kati ya mioyo yetu miwili ilothibiti
[Chorus]
Tulizana mpenzi tupendane
Tulizana mpenzi tupendane
Tulizana mpenzi tupendane
Tulizana mpenzi tupendane
[Outro]
Ikienda mrama irudishie (Popoa, popoa dodo)
Ikikwama kwama isukumie (Popoa, popoa dodo)
Written by: Mbosso