Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Jay Melody
Jay Melody
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Sharif Saidi Juma
Sharif Saidi Juma
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Sharif Saidi Juma
Sharif Saidi Juma
Producer

Lyrics

[Intro]
Ooh boboo
Ooh bobo
Ooh boboo
[Verse 1]
Vile moyo unapwita najionea sana huruma
Nakaa chini nalia najiangalia sijitamani
Chini nachimba na tafuta mzizi oh
Najitafutia dawa usingakua hirizi oh
[Verse 2]
Najiita mjinga Jay acha utoto
Najiona mjinga wenge kimtindo
[PreChorus]
Hata tusiwe wapenzi mama juwa naumia
Umeondoa mchuma mama ngazi naachia
Leo unaienjoy upendo mi nachezewa hisia
Penzi langu mama natamani irudi zamani
[Chorus]
(Ah baby) Ayayaa (Oh baby) Oh wo-wo
(Inanichoma) Ayayaa (Nakosa amani) oh wo-wo
(Ah baby) Ayayaa (Inaniuma) oh wo-wo
(Najioneaga tu mabala) ayayaa (Ah) wo-wo
Ooh mapenzi
[Bridge]
Ah mama oh yeyeaah
Ah mama
[Verse 3]
Basi mapenzi majani ila penzi lako gumu kung'oka
Huwaga nalia sana nikik-mbuka tulipo toka
Ningepata mwandani ila penzi lako linanyoosha
[Verse 4]
Usinifanyie mimi hivi juwa vibaya
Nitoe kwa ubaya my sweet mapenzi ndo haya
Basi unisamehe mwaya mama mapenzi ndo haya
[PreChorus]
Hata tusiwe wapenzi mama juwa naumia
Umeondoa mchuma mama ngazi naachia
Leo unaienjoy upendo mi nachezewa hisia
Penzi langu mama natamani irudi zamani
[Chorus]
(Ah baby) Ayayaa (Oh baby) Oh wo-wo
(Inanichoma) Ayayaa (Nakosa amani) oh wo-wo
(Ah baby) Ayayaa (Inaniuma) oh wo-wo
(Najioneaga tu mabala) ayayaa (Ah) wo-wo
[Outro]
Ooh mapenzi, ooh mapenzi
Ooh baby mi narendra mie
Written by: Sharif Saidi Juma
instagramSharePathic_arrow_out