Similar Songs
Credits
COMPOSITION & LYRICS
Frank Ngumbuchi Felix
Songwriter
Lyrics
Nishakunywaga sana maulaka
Na kulalaga popote
Washanizushiaga kibaka
Nusura waninyongote
Manguo yangu yote viraka
Siheshimiki popote
Mwishoe wanitoe sadaka
Ndo uje uniokote
Nisiwe muongo
Siyo kwamba silagi nakula
Nikikukumbuka ndo na acha
Na siyo kwamba silali nalala
Ila picha yako mpaka itapotoka
Siyo kwamba silagi
Nikikukumbuka ndo na acha
Na siyo kwamba silali ii eeh
Ndo kama hivi nikitoka nalewa
Chakalii
Stress kama zote
Maprukushani kila siku napewa
Makesi kama yote
Ila siyo kwamba silagi nakula
Ila nikikukumbuka
Niokoe
Uje
Niokoe
Imenitawala dunia
Niokoe
Ohh baby baby eeh okoa
Niokoe oh baby baby
Niokoe
Imenitawala dunia
Niokoe
Aaah aaah
Na kama itatokea
Kufa kwa ajili yako
Hata mama nishamwambia
Asikutenge
Na kama itatokea
Kufa kwa ajili yako
Hata ndugu nishawaambia
Wasikutenge
Kichwa changu tupu kama kopo
Hisia zangu zimekufa kupenda
Kutwa nashindia tu madompo
Kimwili kinatiririka kukonda
Ila siyo kwamba silagi nakula
Ila nikikukumbuka
Niokoe
Uje
Niokoe
Imenitawala dunia
Niokoe
Ohh baby baby eeh okoa
Niokoe oh baby baby
Niokoe
Imenitawala dunia
Niokoe
Aaah aaah
Niokoe
Uje
Niokoe
Imenitawala dunia
Niokoe
Ohh baby baby eeh okoa
Niokoe
Niokoe
Niokoe
Niokoe
Written by: Frank Ngumbuchi Felix, John Kimambo