Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Nandy
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Faustina Nandera Charles Mfinanga
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
S2Kizzy
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Siku kama hizi
Tuliziona ndotoni tu, ndotoni tu
Kidogo siku hizi
Na sisi tuna nafuu, tuna nafuu
[PreChorus]
Kichwani siko sawa, akili sina
Moyoni siko sawa, ni lako jina
Na penzi liwe dawa, nipone mazima
Niwe sawa mzima, mzima
[Chorus]
Oh sugar, ni tamu asali
Ni tamu hatari, ni tamu sana
Oh sugar, ni tamu asali
Ni tamu hatari, ni tamu sana
Oh sugar, ni tamu asali
Ni tamu hatari, ni tamu sana
[Verse 2]
Shida sio mimi, shida sio wewe
Shida ni moyo wangu
Shida sio wale, shida sio kule
Shida ni moyo wangu
[PreChorus]
Kichwani siko sawa, akili sina
Moyoni siko sawa, ni lako jina
Na penzi liwe dawa, nipone mazima
Niwe sawa mzima, mzima
[Chorus]
Oh sugar, ni tamu asali
Ni tamu hatari, ni tamu sana
Oh sugar, ni tamu asali
Ni tamu hatari, ni tamu sana
[Outro]
Oh sugar (Sugar) ni tamu asali (Sugar)
Ni tamu hatari (Sugar) ni tamu sana
Oh sugar (Sugar) ni tamu asali (Sugar)
Ni tamu hatari (Sugar) ni tamu sana
Written by: Faustina Nandera Charles Mfinanga