Music Video

Marioo feat Aslay - Pini (Track No.10)
Watch Marioo feat Aslay - Pini (Track No.10) on YouTube

Credits

PERFORMING ARTISTS
Marioo
Marioo
Performer
Aslay
Aslay
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Marioo
Marioo
Songwriter
Aslay
Aslay
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Kanibal
Kanibal
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Siri sio siri tena nimefanikiwa
Kutoboa moyo wake na pini to, too ooh to
Moyo wake na pini to, too ooh to
[Verse 2]
Mbio za sakafuni hazijawahi kufika hata kwenye mataa
Inawezekanaje uniache halafu nikuombee mema
Kila unachokiona ndio kuwa uyaone sio hayo mataa
Inawezekanaje uniache halafu nikuombee mema
[Verse 3]
Ooh, ubaya ubwela mi shabiki wa simba
Ukichapa la kushoto nachapa la kulia simuachii Mungu
Usilete usela kwa mselaa me sijawahi kushindwa
Ulinifanya vibaya ndio maana dua zangu zilifika kwa Mungu
[PreChorus]
Nacheka meno thelathini na mbili yote nje (Hahahaa)
Najifungiaga chumbani nazomea (Ooh)
Nacheka meno thelathini na mbili yote nje (Hahahaa)
Nimepata habari ex wangu anaumia aah
[Chorus]
Siri sio siri tena nimefanikiwa
Kutoboa moyo wake na pini to, too ooh to
Moyo wake na pini to, too ooh to
[Bridge]
Ai mama wee
Mmh
Wouwooh ooh
Naona furaha
[Verse 4]
Ni ni nilinung'unika, nilitokwa machozi yasiyofutika
Nilisurubika nikapata stress za kutaka kufa
Si ulinidharau huuh huh, ulivyopata wadau uuh
Walivyopanda dau ukanitupa ukaniona nyang'au uuh
[Verse 5]
Sa hivi nimejipata umechacha umechuna, unikomee
Si ulikua kama google unajua kila kitu, ushajua haujui
Mwenzako nishajipata napewa mapasi, ya pacome hee
Si ulikua kama google unajua kila kitu, ushajua haujui
[Refrain]
Nacheka meno thelathini na mbili yote nje (Hahahaa)
Najifungiaga chumbani nazomea (Ooh)
Nacheka meno thelathini na mbili yote nje (Hahahaa)
Nimepata habari ex wangu anaumia lolololololo
[Chorus]
Siri sio siri tena nimefanikiwa
Kutoboa moyo wake na pini to, too ooh to
Moyo wake na pini to, too ooh to
[Outro]
Ai mama weeh
Naona furaha
Nasikia raha to ooh to
Aiwee totolilo to
Moyo wa
Oh moyo wake na pini
Shauri yake, kutoka
Written by: Aslay, Marioo
instagramSharePathic_arrow_out