Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
MABANTU
Vocals
Jay Melody
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Twarha Kanengo
Songwriter
Lyrics
[Chorus]
Kiukweli siku hizi nikikuona najiona fala
Ndo mimi nilikuwa nalia kisa wewe
Nachekwa kisa wewe
[Verse 1]
Kama makosa makosa, yangerekebishwa
Sisi ni wanadamu, makosa ni ibada, hatujakamilika
Ila kuchoka kuchoka, nilishindwa vita
Upendo pia kuisha ni ibada, vya nini kulazimisha
[Verse 2]
Najipongeza kukuacha, ilikuwa ngumu kumeza
Dharau na kufumania, nakuuliza unaniibu kingereza
Ooh waiter, tena ongeza, leo najipongeza
Si alisema kumwacha sitoweza, leo imefika mwisho
[Chorus]
Kiukweli siku hizi nikikuona najiona fala
Ndo mimi nilikuwa nalia kisa wewe
Nachekwa kisa wewe
Tena najicheka, najiona fala
Ndo mimi nilikuwa nakuhonga, mbwa wewe
Nalewa kisa wewe
[Chorus]
Kiukweli siku hizi nikikuona najiona fala
Ndo mimi nilikuwa nalia kisa wewe
Nachekwa kisa wewe
Tena najicheka, najiona fala
Ndo mimi nilikuwa nakuhonga, mbwa wewe
Nalewa kisa wewe
[Verse 3]
Siku hizi wewe sio vitu vyangu
Nina type zangu, viudambu dambu, vitu nyambu nyambu
Uwe na mipaka bhana, usiniletee uvengu
Kujicheatua halafu bila sababu
Ooh my God, I feel alright now
Toka nimeachana na wewe
My God, ooh, siku hizi nimenona
Napata tu mahaba ya fungate
Nina vitu vyangu
Nina type zangu, sio wewe Kingwendu
[Chorus]
Kiukweli siku hizi nikikuona najiona fala
Ndo mimi nilikuwa nalia kisa wewe
Nachekwa kisa wewe
Tena najicheka, najiona fala
Ndo mimi nilikuwa nakuhonga, mbwa wewe
Nalewa kisa wewe
[Chorus]
Kiukweli siku hizi nikikuona najiona fala
Ndo mimi nilikuwa nalia kisa wewe
Nachekwa kisa wewe
Tena najicheka, najiona fala
Ndo mimi nilikuwa nakuhonga, mbwa wewe
Nalewa kisa wewe
[Verse 4]
Mh ganja ganja, zile zilikua ganja
Pombe pombe, zile zilikua pombe
Nishagombana na wanangu kisa wewe
Maskani sitokei kisa wewe
Mabatani sitokei kisa wewe
Sili kisa wewe sipendezi kisa wewe
[Verse 5]
Kukuacha ilikua ngumu kumeza
Mh ndani vibweka nkiongea naonekana nabweka
Oh waiter tena ongeza, leo najipongeza
Si alisema kumwacha sitoweza
Pepo imefika mwilsho
[Chorus]
Kiukweli siku hizi nikikuona najiona fala
Ndo mimi nilikuwa nalia kisa wewe
Nachekwa kisa wewe
Tena najicheka, najiona fala
Ndo mimi nilikuwa nakuhonga, mbwa wewe
Nalewa kisa wewe
[Chorus]
Kiukweli siku hizi nikikuona najiona fala
Ndo mimi nilikuwa nalia kisa wewe
Nachekwa kisa wewe
Tena najicheka, najiona fala
Ndo mimi nilikuwa nakuhonga, mbwa wewe
Nalewa kisa wewe
Written by: Twarha Kanengo