Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Nandy
Nandy
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Faustina Nandera Charles Mfinanga
Faustina Nandera Charles Mfinanga
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
S2Kizzy
S2Kizzy
Producer

Lyrics

Zombi akipiga ka hapigi tena
African Princess
S2Kizzy Baby
Eti hana kitu mimi ndo nishapendana naye
Hajui kuva ila mimi ndo natoka naye
Sio mzuri sana ila mi ndo naendana naye
Si ananifa ndo mana nadunda naye
We kama una wako
Mlete
Kama unahisi anamzidi wa kwangu
Mlete
Kama una chuma chako
KIlete
Kama unahisi kinazidi cha kwangu
KIlete
Hahaha
Kama una baby wako
Mwite mwite
Tumthaminishe
Mwite mwite
Basi post tumuone
Mwite mwite
Tumpambanishe
Mwite mwite
We kama una wako
Mlete
Kama unahisi anamzidi wa kwangu
Mlete
Kama una chuma chako
KIlete
Kama unahisi kinazidi cha kwangu
KIlete
Hodi hodi
Shemeji record
Zombi mwenyewe ndo kapiga ma code
Hodi hodi
Shemeji record
Zombi mwenyewe ndo kapiga ma code
Oya oya
Oya oya
Mi na maanko sina anko boya boya
Oya oya
Oya oya
Mi na maanko sina anko boya boya
We kama una wako
Mlete
Kama unahisi anamzidi wa kwangu
Mlete
Kama una chuma chako
KIlete
Kama unahisi kinazidi cha kwangu
KIlete
Hahaha
Kama una baby wako
Mwite mwite
Tumthaminishe
Mwite mwite
Basi post tumuone
Mwite mwite
Tumpambanishe
Mwite mwite
We kama una wako
Mlete
Kama unahisi anamzidi wa kwangu
Mlete
Kama una chuma chako
KIlete
Kama unahisi kinazidi cha kwangu
KIlete
Written by: Faustina Nandera Charles Mfinanga
instagramSharePathic_arrow_out