Music Video

Young Lunya - Mama Wee (Official Audio) ft. Micky Singer, D Voice
Watch Young Lunya - Mama Wee (Official Audio) ft. Micky Singer, D Voice on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Young Lunya
Young Lunya
Performer
Micky Singer
Micky Singer
Performer
D Voice
D Voice
Performer
COMPOSITION & LYRICS
alpha dickson mbaga
alpha dickson mbaga
Composer

Lyrics

[Verse 1]
Kuna muda nakuwa na boa mi mwenyewe najua
Sio kama nakukomoa tatizo wivuu
Mi nimekuzoea nashindwa kujizuia
Sio kama nakukomoa tatizo wivuu
[Chorus]
Awee mama wee
Sio kama sipendi mama wee
Magonjwa ni mengi mama wee
Sio kama sipendi mama wee
[Verse 2]
Wangu wa ubani maua
Mkali wa shughuli za kitandani anajua
Hawa matozi wanaokutamani sanua
Punguza punguza utundu flani hivi utaniua
[Verse 3]
Hata nikicheki ka-body kake kameumbika
Na ni mwanamke na nusu anajua kufua anajua kupika kama malaika
Mtoto wa kiuni nimefika mi napakua yeye anapika
Mimi natafuta yeye anaficha hata akiringisha ila ntapiga uhakika
[Verse 4]
Style gani upole hataki anapenda uchizii
Eti anadai kulala na mkojo usiku hapati usingizi
Nami nakwea tu na simalizi waongee ila sisikkilizi
Bora nitekwe niteketezwe ila mama yenu apewe ulinzi shii
[Verse 5]
Ukichelewa kurudi mwenzako roho inaniuma
Inaniumaa
Usipojibu message ndo kabisa mi naumwa
Naumwaa
[Chorus]
Awee mama wee
Sio kama sipendi mama wee
Magonjwa ni mengi mama wee
Sio kama sipendi mama wee
[Verse 6]
Kama haitaki hivi kumbe anaitaka sana
Ushamba wa kwake unyama wa kwangu so msidhani tutakuja kuachana
Huo mdanga kama ameinama wa vikao muanzishe na chama
Ni kweli ana drama na anazifanya maana mmezidi muandama
[Refrain]
Ndomana muda wote yupo na mimi pembeni simuachi (Aawee!)
Namsamehe hata akosee makosa mangapi (Aawee!)
Mwambieni bukta ya kwamba mfuko umepata shati (Aawee!)
Na mda wa kumla hataki kelele ananipa code mende kaangusha kabati
[Verse 7]
Style gani upole hataki anapenda uchizii
Eti anadai kulala na mkojo usiku hapati usingizi
Nami nakwea tu na simalizi waongee ila sisikkilizi
Bora nitekwe niteketezwe ila mama yenu apewe ulinzi
[Verse 8]
Tatizo umezidi uzuri na wewee
Ndomana mi nakuwa na wivu maana
Siumeruhusu nikupende mwenyewe
Hilo ndo kosa lako ulilofanya
Let's go, let's go, let's go
[Chorus]
Awee mama wee
Sio kama sipendi mama wee
Magonjwa ni mengi mama wee
Sio kama sipendi mama wee
Awee mama wee
Sio kama sipendi mama wee
Magonjwa ni mengi mama wee
Sio kama sipendi mama wee
Written by: alpha dickson mbaga
instagramSharePathic_arrow_out