Music Video

Whozu - Sijui Nikoje (Official Music Video)
Watch Whozu - Sijui Nikoje (Official Music Video) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Whozu
Whozu
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Oscar lelo
Oscar lelo
Composer

Lyrics

[Verse 1]
Too much Money
Zombie
(Aaaaah)
[Verse 2]
Mapenzi yakinogaga kumposti naanzaga mimi
Nikianza kumchoka, sababu namtafutia mimi
Sijui nikoje
Mi sijui nikoje
[Verse 3]
Nikipokea ka mchezo tajiri najiona mimi
Nikinywa na pombe, nikilewa zinashuka chini
Sijui nikoje
Mi sijui nikoje
[Chorus]
Mi kwanza sijali
Sijali
Yani kupretend maisha siwezi
Naipenda tabia yangu
Yaani sijaali
Mi mwenzenu sijali
Eti kupretend maisha siwezi
Naipenda tabia yangu
[Verse 4]
Huyuyuyaa
Aichukucha
Mpeleme, mpeleme, mpeleme babe
Akikupaa
Huyuyuyaa
Aichukucha
Mpeleme, mpeleme, mpeleme babe
Asijesusa
[Verse 5]
Krii krii tata
Krii krii tata
AYII!!!
Krii krii tata
Krii krii tata
AYII!!
[Verse 6]
Saa nyengine mi nafikiri
Sijui nikoje
Saa nyengine nakeraa
Nikoje mi
Saa nyengine mi nafikiri
Sijui nikoje
Saa nyengine nakeraa
Sijui nikoje
[Verse 7]
Mapenzi yakinogaga kumposti naanzaga mimi
Nikianza kumchoka, sababu namtafutia mimi
Sijui nikoje
Mi sijui nikoje
[Verse 8]
Nikipokea ka mchezo tajiri najiona mimi
Nikinywa na pombe nikilewa zinashuka chini
Sijui nikoje
Mi sijui nikoje
[Chorus]
Mi kwanza sijali
Sijali
Yani kupretend maisha siwezi
Naipenda tabia yangu
Yaani sijaali
Mi mwenzenu sijali
Eti kupretend maisha siwezi
Naipenda tabia yangu
[Verse 9]
Krii krii tata
Krii krii tata
AYII!!!
Krii krii tata
Krii krii tata
AYII!!
Written by: Oscar lelo
instagramSharePathic_arrow_out