Music Video

Mocco Genius - Mar Gaya (Lyrics Video)
Watch Mocco Genius - Mar Gaya (Lyrics Video) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Mocco Genius
Mocco Genius
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Idd Mohamed Ngomba
Idd Mohamed Ngomba
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Mocco Genius
Mocco Genius
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Mpenzi wako alikuambia basi
Au nawe kama mimi tu
Niliona ua jeusi status
Nikasikia tu amepata mwingine
Mbaba wake mwingine
Anapendwa
[Verse 2]
Sijui niliachwa kisa kitu gani
Nimeona kapost Insta ghafla yani
Moyo umetoboka, wavuja damu
Mbona yananiliza ya wanadamu
[Verse 3]
Mar gaya, pyaar mar gaya
Mere paas koee nahin hai
Pyaar mar gaya, mmh
Mar gaya, pyaar mar gaya
Mere paas koee nahin hai
Pyaar mar gaya
[Refrain]
Ooh vibaya
Tuliachana vibaya
Nasikia nae ana mwingine
Sawa, sio mbaya
[Verse 4]
Yani sijui kusoma, hata picha sioni
Sikusoma Cuba, sikuzijua code
Ila dalili zilinigongea hodi, zilikuja mwanzoni
Tena usishike simu ya mpenzi, maana ziliniponza
Nilikuta katumiwa text, "Jana ulinikosha"
Tena penzi lako tamu, halinitoki kichwani
Mpenzi wangu akajibu, "Nami nimekumiss honey"
[Chorus]
Mar gaya, pyaar mar gaya
Mere paas koee nahin hai
Pyaar mar gaya, mmh
Mar gaya, pyaar mar gaya
Mere paas koee nahin hai
Pyaar mar gaya
[Refrain]
Ooh vibaya
Tuliachana vibaya
Nasikia nae ana mwingine
Sawa, sio mbaya
[Outro]
Vibaya, tuliachana vibaya
Nasikia nae ana mwingine
Sawa, sio mbaya
Written by: Idd Mohamed Ngomba
instagramSharePathic_arrow_out