Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Whozu
Whozu
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Oscar lelo
Oscar lelo
Composer

Lyrics

[Intro]
Nenga!
Zombie zombie zombie zombie zombie utatuuwa
[Verse 1]
Mshike huyo (Hatoki mtu)
Nimeupaka mkongo (Hatoki mtu)
Mshike huyo (Hatoki mtu)
Alinitia usongo (Hatoki mtu)
[Verse 2]
Kashanipiga sana vizinga, leo kajichanganya kayatimba
Oya alitaka kunichukulia poa, kumbe mi mwenyewe ni mtoto wa town
Mara Ooh nitakupa ukinioa, kashaniona boya kutwa kunipiga sound
[Bridge]
Alitaka kunichukulia poa, kumbe mi mwenyewe ni mtoto wa town
Mara ooh nitakupa ukinioa, kashaniona boya kutwa kunipiga sound
[Verse 3]
Eti honey leo sitoki niko, na mamy (Fyoko)
Mara honey dady yuko nyumbani (Nyokoo)
[PreChorus]
Pararapaparira paparira paparira papa
Pererepeperire peperire peperire pepe
[Chorus]
Ameyatimba
Aah ameyatimba
Ooh ameyatimba
Aah ameyatimba
Ooh ameyatimba
[Bridge]
Tokoto, tokoto toto, to, tokoto tokoto toto
Tokoto, tokoto toto, to, tokoto tokoto toto
Tokoto, tokoto toto, to, tokoto tokoto toto
Tokoto, tokoto toto, to, tokoto tokoto toto
[Verse 4]
Mtoto kavamia pombe kakutana na gang
Mtoto kadhania Konde (Konde)
Mtoto kadandia tonge yupo danger days, mi napambania kombe (Kombe)
Mtoto fakamia yote, anavyochochea moto tukalipuke wote (Wote)
Mtoto kaniambia chonde kakutana na beki nachapa miguu yote
[Verse 5]
Alitaka kunichukulia poa, kumbe mi mwenyewe ni mtoto wa town
Mara ooh nakupenda ntakuoa, ushaniona boya kutwa kunipiga sound
Alitaka kunichukulia poa, kumbe mi mwenyewe ni mtoto wa town
Mara ooh nakupenda ntakuoa, ushaniona boya kutwa kunipiga sound
[PreChorus]
Pararapaparira paparira paparira papa
Pererepeperire peperire peperire pepe
[Chorus]
Ameyatimba
Aah ameyatimba
Ooh ameyatimba
Aah ameyatimba
Ooh ameyatimba
[Outro]
Tokoto, tokoto toto, to, tokoto tokoto toto
Tokoto, tokoto toto, to, tokoto tokoto toto
Tokoto, tokoto toto, to, tokoto tokoto toto
Tokoto, tokoto toto, to, tokoto tokoto toto
Written by: Oscar lelo, Salmin Kasimu Maengo, William Nicholaus Lyimo
instagramSharePathic_arrow_out