Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Marioo
Marioo
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Marioo
Marioo
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Kanibal
Kanibal
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Bebi naomba tujirekodi (Why)
Aah kumbukumbu (Why)
Siku nikikumisi (Why)
Aah naitazama tuh (Naijua iyooh)
[Verse 2]
Kuna mwizi aliiba simu yangu
Kashindwa kuiuza kairudisha
Aah unajua kwanini
Mnmhh (Me mjanja weeeh)
[Verse 3]
Kuna kibaka kapora tambo langu
Kashindwa kuliuza kalirudishaah
Unajua kwanini
Nimeweka password
[Verse 4]
Asa unaogopa nini weeh
Unaogopa nini weeh
Asa unahofia nini weeh
Unahofia
[Verse 5]
Bebi you’re not comfortable
Comfortable, comfortable, comfortable
Why you’re not comfortable
Comfortable comfortable, comfortable, aah
[Chorus]
Bebi naomba tujirekodi (Why)
Aah kumbukumbu (Why)
Siku nikikumisi (Why)
Aah naitazama tuh (Naijua iyooh)
[Chorus]
Bebi naomba tujirekodi (Why)
Aah kumbukumbu (Why)
Siku nikikumisi (Why)
Aaah naitazama tuh (Naijua iyooh)
[Verse 6]
Si unapendaga TikTok (Eeh)
Tupate na karing light (Eeh)
Me naona shega bado poa alooo
I don't like it
[Verse 7]
Si unapenda Snapchat (Eeh)
Tuchape filter (Eeh)
Me naona shega bado poa alooo
I don't like it
[Refrain]
Bebi you’re not comfortable
Comfortable, comfortable, comfortable
Why you’re not comfortable
Comfortable, comfortable, comfortable, aah
[Chorus]
Bebi naomba tujirekodi (Why)
Aah kumbukumbu (Why)
Siku nikikumisi (Why)
Aah naitazama tuh (Naijua iyooh)
[Chorus]
Bebi naomba tujirekodi (Why)
Aah kumbukumbu (Why)
Siku nikikumisi (Why)
Aah naitazama tuh (Naijua iyooh)
Written by: Marioo
instagramSharePathic_arrow_out